Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba aliekua na contact Za Dar Group anipe Tafadhali.. Ni me Google land-line hawapokei.. Na Shida na Dr Elibarick kama bado yupo.. Dr wa mifupa ..au jus direct contact... Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni swali gumu kidogo ni njia gani ambayo inaweza ikafanya mwanamke au msichana mgumba aweze kushika mimba?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Kuna kibaka kidogo cheusi kinasha sana nimeshatumia dawa za ngozi kama white field, nicodem but kinakuwa kama kinafubaa then kinaanza tena kinaweza kuwa nn na tiba je
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese. 75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako. Ukila ndizi wakati...
13 Reactions
22 Replies
10K Views
Shemeji yenu hakuwa na tatizo lolote la Presha lakini toka apate Ujauzito Presha yake mara Kwa mara Huwa chini.Nini husababisha hilo?
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Sitaki niwachoshe kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na usingizi pindi ninapokuwa kazini iwe mchana au usiku nahangaika sana mara nipitiwe na usingizi wakati...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani dalili za madonda ya tumbo ni zipi ? Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo langu huwa nasikia maumivu sana hata kama nikila chakula bado nayapata maumivu ila kuna muda khali hii hutulia kabisa .
2 Reactions
2 Replies
19K Views
Habarini za Asubuhi wapendwa naomba kuuliza hivi nini kinasababisha mimba kutokukuwa?nina ndugu yangu ni mjamzito wa miezi mi tatu,ila kila anapoenda kwa doctor anaambiwa hakuna mabadiliko yani...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
MSAMIATI Kinywaji cha viungo: Hiki ni kinywaji chochote ambacho kimetengenezwa kwa kuwekwa viungo. Kinywaji hiki kinaweza kuwa cha moto au cha baridi. Kinywaji cha baridi kinapotengenezwa...
10 Reactions
17 Replies
45K Views
The food supplement that ruined my liver' Jim McCants...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DALILI ZA MIMBA BILA KUWA NA MIMBA ▪Ni Mimba ya uongo inayofahamika kitaalamu kama (Pseudocyesis) ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. 👉...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Naomba kuwasalimu wakuu!! Nina tatizo la meno kupekechwa na hatimaye limekatika kabisa jino moja la mbele na nilivyokwenda hospitali juzi ikabidi king'olewe kipisi kilichokuwa kimebakia.Sasa...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu! Salama? Naomba kuuliza kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito inamadhara kwa yeye kiafya, je kama aina unaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka miezi mingapi mwisho. Pasipo matatizo kwake na...
1 Reactions
37 Replies
88K Views
Habar wana jf Mimi nasumbiliwa sana na tatizo la kuumwa kichwa kwenye paji la uso maarufu kama KIPANDA USO ni tatizo linanisumbua miaka mingi sana karibia miaka saba had na sielew matibabu yake...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
2 Reactions
72 Replies
33K Views
Ni kweli kunaponesha? Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu. Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala mbali mbali inayohusu huu ugonjwa,nakugundua kuwa ni ugonjwa hatari sana. Naombeni msaada wakujua gharama za chanjo ya huu ugonjwa hapa nchini kwetu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wa JF,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekua na mawazo sana kua endapo ikitokea nimeugua ngiri na operesheni ikahusisha utoaji wa kende moja na mimi nikabaki na moja,je sintakabiliwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…