Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wiki chache zilizopita ,x wangu mimba iliharibika na sasa mwezi umeisha bila kuziona siku zake ,je inawezekana ana ujauzito au niendelee kusubiri mabadiriko ya mwili Nawasilisha wapenzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Jf doctor naomba msaada wa kueleweshwa mimba inaanza kuhesabiwa muda upi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JAMANI NIPELEKE WAPI HAYA MALALAMIKO? Naandika hii post nikiwa na uchungu mkubwa sana kwani ndionimetokea West Kilimanjaro kumzika mjukuu wangu aliekuwa na umri wa miezi sita. Hakika huyu malaika...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Wasalam mabwana namabibi. Nimekuwa nikitumia kahawa ile yakawaida iliyosagwa kama unga. Sasa juzi nimeenda dukani nikaona hii ychenga. Nikajisemea ngoja nikaijaribu hihi. Binafs nimeipnda. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane! Mdau
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Katika mizunguko ya dunia hii huwa tunakumbana na matatizo mengi yanayoumiza moyo na ubongo Kwa mfano kufiwa na mtu wakaribu; kufukuzwa kazi 'shule kukamatwa na kufungwa kwa sababu mbalimbali ...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Ndugu na jamaa masalaam: Naomba msada kutoka kwa yeyote yule aneweza kunitafsiria hizi dawa kwa lugha ya kingereza: Shubiri Bakalhadi Uwatu Habbal sauda Manimani Ahsante sana
0 Reactions
34 Replies
33K Views
Ugonjwa wa kujamba naombeni dawa
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni kweli kwamba kondomu zinasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa na ukimwi. Lakini watu wengi matumizi. sahihi ya kondomu hatuyajui. 1.Mtu unanyonya sehemu za siri then wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaaam wakuu Straight to the point mm nina tatizo hili la muda mrefu ambalo nina matumaini kuwa siku moja litaisha kama ninavyosikia kwa wengine .. kigugumizi hunijia ghafla hasa napokua naongea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
sehemu ya juu ama chini ya ukope inapo cheza kunakua na maana gani au ni nini hasa husababibisha sehemu ya juu ama chini ja kope za macho kucheza?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, Kuna hii hali ambayo ninayo nahisi si ya kawaida nahitaji ushauri wenu. Toka nipo shule ya msingi wenzangu walikua...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu.. 1. Kuhusu resistance kwa magojwa 2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu. Mimi naombeni msaada mwenye kujua zaidi kazi ya nywele katika sehemu za siri ni nini. Hasa pubic hair kazi yake kuu ni nini maana hata uliyatoa hamna madhara. Nimefanya kuangalia...
4 Reactions
25 Replies
13K Views
Seriously hili tatizo kubwa linalonisumbua usiku na mchana Ikufika taim ya kulala kuupata usingizi ni vita kwa kweli na nikishtuka usiku kazi ni ile ile Sometimes ni tatizo dogo tu ila litakaa...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Kwa mwanamke ambaye hafurahii tendo la ndoa,atumie dawa gani,yaani hafurahii wala kufika kileleni hata ukipiga mpaka asubuhi!! Madaktari msaada tafadhali!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ssalam wakuu, nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni madhara gani anayopata mtoto aliekunywa uchafu wa akiwa anazaliwa
0 Reactions
15 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…