Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomben mnijuze et Revivo capsules ni Dawa za nn na kazi yake ni nn
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari iwe nanyi wapendwa! Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama...
5 Reactions
147 Replies
18K Views
Chai Ya Majani ya Kijani kwa jina Tedivina Detox Tea Yenye kutibu Maradhi Mengi mwilini na kupunguza Unene kwa haraka na Kuondosha Sumu Mwilini. Chai ya kutoka nchini Amerika. Faida ya chai ya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wanabodi, Mtoto wa shemeji yenu amekuwa anaharisha au kuharisha na kutapika kwa mpigo kila usiku wa manane au alfajiri. Mchana anashinda salama tu, anakula, anacheza, hadi muda wa kulala...ila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Pharmacist kanilipulia bomu akaniambia Condoms za DUREX aina ya FEATHERLITE zenye pakiti ya rangi ya brown zimepigwa marufuku kisa ziko chini ya kiwango. Naomba wadau walio karibu na TFDA...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari zajion wana jamii tafadhali mwenyekujua tiba ya kukabwa koo ndug zangu anisaidie nimezunguka ospitar ya kwanz niliambiwa minyoo ospitar ya pili sikuambiwa tatizo nilichomwa sindano ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtu mmoja alisema /aliniambia ,ukisex na mtu mwenye maambukizi ya ,ukimwi,kaswende,kisonono,nk,kipimo ni siku 3 kwenye uume lazima mapele madogo madogo yajitokeze kama umepatwa na gonjwa...
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Hivi kuna baadhi ya ke hupata mimba siku ya kwanza ya bleed damu inatoka akisex inaingia?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa Je...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Share....... HEWA CHAFU KUTOKA UKENI hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sanaa na wanashindwa wafanye nn kulitatua na pia wengi wao hawajuwi ni kitu ganikinasababisha hali...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dr Aloysius LOH: An interesting article. Life can begin at 60, it is all in your hands! Many people feel unhappy, health-wise and security-wise, after 60 years of age, owing to the diminishing...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Hello Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu. Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu waungwana Jamani kuna kakitu kananisumbua nahitaji msaada kwakweli Ni Kanyama sijui kanini kapo sehemu ya haja big kanauma kweli siwezi kuelezea zaidi walioelewa wanipe msaada TAFSIDA...
0 Reactions
4 Replies
808 Views
.
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Kwa muda sasa nimekuwa na tatizo la kila nipatapo homa lazima nitokwe na vidonda mdomoni tena vidonda hivyo hunisumbua sana kupona ikiwa ni pamoja na kuwasha sana, naomba msaada nini cha kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam wandugu, Nisipoteze muda niende moja kwa moja, Mimi ni kijana umri 30+ nina siku ya pili sasa napata maumivu kwenye korodani moja sasa sijajua ni dalili za ugonjwa gani au inasababishwa...
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Habar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kuungua kwa watoto kwa moto ni moja ya ajali zinazotokea sana mara kwa mara na huwakuta wakiwa majumbani mwao. Asilimia 70 ya kuungua kwa watoto huwa ni wao wenyewe ndio hujitumbukiza katika ajali...
1 Reactions
7 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…