About 1 man in 7 will be diagnosed with prostate cancer in his lifetime,( according to the American Cancer Society. )
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Mwanangu anatimiza umri wa miezi minne keshokutwa,siku ya jumamosi usiku alianza kuharisha na kesho yake tukampeleka hospitali akapimwa na kuonekana hana malaria bali kuna dawa...
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MAFUTA MWILINI, KITAMBI, AU MATATIZO YA TUMBO
KARIBU ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY
Umuhimu wa mwanadamu upo kwenye kujua hali ya AFYA yake ikoje , watalaamu...
Kutotibu malaria wakati wa ujauzito, matumizi ya vyakula na vinywaji visivyo salama hasa vyenye gesi na tindikali ni chanzo cha kuzaa watoto wenye maumbile yasiyo ya kawaida ikiwemo mapacha...
Wanajukwaa kama kichwa kinavyo jieleza nikwamba nikama mwaka mzima nimekuwa nikifanya kaz yakubeba vitu vizito yani ndoo za rangi 20 litres naweza beba ten pa dey na dumu za maji nabeba begani...
Symptoms of hernias may suddenly appear, but also may develop gradually. Painful sensations can vary considerably from no to severe pain. Hernia symptoms should include the presence of convexity...
Naombeni msaada jamani sikio la kushoto linaniuma nimetumia dawa,nyingi linatulia kidogo tuu pia linatoa harufu # plzzzz Drs naombeni msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wakuu
Napenda kuuliza je mwanamke mwenye ujauzito ataacha kushiriki tendo la ndoa baada ya ujauzito kufikisha miezi mingapi na atashiriki baada ya kujifungua ipite miezi mingapi...
Nimejiuliza maswali mengi sana Ila sijapata jibu, Luna kijana tumemzika leo kwa bahati mbaya alikuwa ni HIV Positive na alikuwa anatumia hizi dawa lakini baada ya kuona amekuwa na afya nzuri...
Hasa shule wa wasichana huwa kuna ugonjwa unaitwa Chekelea... wataalamu tunaomba mtujuze kama n kweli pia sababu zinazo sababisha ugojwa huu hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Je kondomu ikipasuka wakati wa tendo .,je inaweza kuleta matatizo mfano maambukizi!? Kama unayeshirikiana nae ana tatizo au maambukizi yanachukua zaidi ya masaa 24 !??
Naomba kujua mzunguko wa hedhi kama n mrefu au mfupi Kwan anaingia last three month katika tarehe hii mwez wa nne tarehe15, mwez wa tano tarehe13, mwez wa Sita tarehe10 na Mwez wa Saba tarehe14...
Ndg husikeni na mada tajwa tafadhar; mimi ni mwanachama wa mfuko wa bima wa nhif; miwani yangu imeharibika ngependa kupata nyingine kwa kutumia nhif yaani wanilipie gharama ya miwani. Nnaomba...
Unaweza kuwa na mtoto au hata ndugu mwenye kuzaliwa na moyo upande wa kulia bila kujua kama ilikuwa hakupata shida yoyote toka kuzaliwa.
Tatizo lao kubwa wenye moyo kulia ni kupata maambukizi ya...
Naomba kueleweshwa juu ya hili swala je mwanamke asipoona siku zake hata kwa miezi mitatu hivi je anaweza pata mimba kama inawezekana naomba kueleweshwa inatokeaje??
Karibuni kwa msaada
Sent...