Mimi ni kijana wa miaka 28 ninaishi dar, ninaishi na mwanamke huu mwezi wa nne sasa, kiukweli nilikosea kuanzisha mahusiano bila kuchukua tahadhari za kiafya, nikafanya nae ngono zembe kwa muda...
Nina mke wangu sasa ni wiki moja toka awe kwenye siku zake za hatari na alikua ana lengo la kupata ujauzito lakini Leo ni wiki moja na siku tatu tumepima kwa UPT lakini haijaonesha kua mjamzito...
Naishi na mke wangu, tumejaaliwa kupata watoto mapacha wote wa kike wana umri wa mwaka na miezi 10, na bado wananyonya, Ni siku ya 3 sasa tangu mke wangu agundue ana ujauzito wa wiki 3...
Habari wakuu wa jukwaa hili
Nimejitokeza hapa nina walau maswali mawili, moja ivi nini kinasababisha mtu kutokwa na jasho saana hasa maeneo ya kwapa wengine mgongoni.. Yaani unakuta mtu katembea...
Wakuu salaam,naomba msaada jinsi ya kuondoa kiungulia,Siku za nyuma vyakula vyote vilikuwa havinisumbui ila kwa sasa baadhi vinanipa kiungulia MF mikate,maharage,viazi nk.
Nifanyeje nirudie ile...
Wakuu inapotokea mwanaume ana low mobility ya sperms zake ..hapa nazungumzia 3% na kabla ya hapo hakuwa na shida iyo inaweza kuwa imesababishwa na nini?na tiba yake ipoje
Habari wana JF!.
Naombeni msaada kuhusu hili nimekua napata muwasho kwenye mrija wa kupitishia mkojo(Uume) siku tatu zilizopita, Chakushangaza leo naamka naona kama usaa kidogo kwenye...
Thank all kwa mawazo na ushauri nilienda Hospital Regency. Doctor alinipima pressure & kisukari sina nikapewa dawa ila baada ya week kutumia dawa za hospital mabadiliko hakuna ndo nikaomba ushauli...
Wakuu nauliza BlueBand itanisaidia katika Ku build Muscles au ina madhara pia nikifanya Cardio huwa nakojoa mkojo wenye Rangi Sana Tatizo nini nikifanya zoezi la tumbo Digestion huwa inazingua...
*PENIS CARE*
*Take Care of Your Penis....*
*Tips to keep your penis clean, sweet and healthy.* *
As a man, keeping your penis healthy and sweet is important. Your sexual* *organs are very...
Habari za muda,sasa yapata week na siku kadhaa jicho la kulia linauma kwa mbali na kuwasha huku likitoa uchafu(tongotongo)sana na muda wote..vile vile limevimba hata halifunguki vizuri.
Nimetumia...
Matumizi ya pombe kupindukia(alcoholism ) na sigara(nicotinic addiction ) vimekuwa ni chanzo cha kushuka kwa uchumi katika familia nyingi za kitanzania
Habari njema ni kwamba kampuni ya Alliance...
kwa upungufu wa nguvu za kiume
kibofu kuuma
tumbo kuuma ngiri) au kunguruma
husimamishi
uume kusinyaa kabla ya tendo
kuwahi kufika kileleni
kushindwa kurudia tendo
kwa kutumia shubiri,maziwa ya...
Za leo wakuu,
Naombeni ushauri ndugu zangu.
Mwanangu anaumwa jino ambalo ni gego la kutafunia. Halijaoza bali limecrake tu. Kwa wanaojua tiba ya meno bila kung'oa maana naona mtoto ni mdogo...
Habarini,
Nina watoto wanne kila mmoja na mama yake, wa kwanza ilikuwa hivyo, wa pili ni mtalaka wangu, watatu nayo natilia mashaka mpaka mtoto mwenyewe lakini sina uwezo wa kupima DNA hivyo...
Mpenzi wangu anaujauzito takribani week sasa, lakini tumbo linakuwa linamuuma sana pamoja na kuchoma choma na ni mimba yake ya kwanza.
Shida ni nini? Maana sielewi kabsa anavyolalamika tumbo...
jamani naomba anayejua haya mambo tusaidiane.
nimesikia watu wakishawishi ulaji wa vitunguu swaumu wakidai ni tiba ya magonjwa mengi na ni kinga pia, sasa mimi nilijaribu kutafuna vipunje...