Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu salama, Takribani kama wiki mbili au tatu, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ameanza tabia ya kujishika mara kwa mara kule kwa babu wake. Hii hutokea wakati wowote...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu habari nina mtoto wangu ana miaka sita sasa meno yake yakiwa madogo yalianza kuharibika na kukatika na ya mbele ya juu yalikatika kabisa kwenye ncha ,,,,sasa moja wapo likang'oka na kuota...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
1.Mtindio wa ubongo ni nini?. Ni tatizo la kiuneurologia( mfumo wa fahamu) unaohusisha ubongo na mfumo wa neva za fahamu. Tatizo hili hasa huathili sehemu ya ubongo ambayo inahusika na misuli ya...
1 Reactions
8 Replies
12K Views
habari wana jamiiforum mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona Tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, yeyote anayefahamu dawa ya kumfanya binadamu apate usingizi naomba anfahamishe.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari zenu waungwana, aisee Nina tatizo la mguu inawasha kwwnye unyao, mpaka inanikosesha pozi sasa, nimekuja hapa kutafuta msadaa kuna watu wanajua mambo mengi, na hata kuyatolea ufumbuzi, kwani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenu madaktari na wenye ufahamu. Kuna imani kuwa mtoto wa miezi nane akizaliwa anakufa, na huku wa miezi saba anasurvive. Nini kinapelekea hiki.? Mtoto wa miezi nane afe, na mtoto wa miezi saba...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Jamani naomba kufahamishwa, mwanangu(kike) ana miezi kumi na mmoja ila hakuwahi kutambaa..sai ivi anasimama na kutembea kwa kushika vitu. Je kwa umri wake ni sawa kuwa ivo au amechelewa.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu wana jf nataka kujuzwa kuhusu uvumi uliopo kuwa mtoto akifanyiwa tohara umri mdogo basi uume wake huwa unakuwa mdogo ukiringanisha na atayefanya tohara akiwa mtu mzima Sent using Jamii...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
mkuu nasumbuliwa sna usaidizi tafadhari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze kati ya dawa za mmasai na hizi za kisunna wanauza maustadh kwenye maduka ya madawa yao zipi zinafanya vizuri katika tiba? Nisaidieni ili niamue kwenda kwa masai ama ustadhi
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Let me jump directly to the point. Hivi ni kwa nini mwanaume fulani anakuwa na kaumbele kadogo mno ka uume na mwingine hapana? Mi sababu yangu moja inaweza kuwa kumfanyia tohara mara tu baada ya...
3 Reactions
32 Replies
14K Views
HELLO WA MMU Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya...
1 Reactions
91 Replies
12K Views
Habari, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Nimekuwa na maumivu ya mwili viungo haswa upande wa kushoto toka shingoni, begani, mkononi, kwenye nyonga mpaka mguuni. Pia kichwa kimenisumbua muda...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ninatatizo la kujihisi mwilini haswa kwenye mbavu,miguuni na kichwani kuna vitu vinatembea mwilini haswa mida ya usiku. Msaada wenu wanajamvi... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari humu ndani.... Nahitaji ushauri wenu hapa...kuna binti nina uhusiano naye kwa kipindi cha miezi mitatu....tangu nianze naye uhusiano kaona siku zake mzunguko mmoja tu mara mbili badala ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atasex na mwanaume mwenye uume mrefu. Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Pearl Cantrell, 105-Year-Old Woman, Says Bacon Is Key To Longevity A 105-year-old Texas woman who worked a life of physical labor and mothered seven children revealed the secret to her longevity...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hamna dawa ya kuongeza uume, iwe ya hospitalini au ya tiba za asili, usdanganyike
0 Reactions
6 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…