Habari zenu,
Naomba mnisaidie kwa hili ingawa linaweza kuwa lishaulizwa lakini mimi ni mgeni humu. Hivi karibuni nilijifungua kwa operation lakini mtoto akafariki, nahitaji kujua ni baada ya muda...
Habari ya mchana, mwenza wangu umri wake (41) huwa anapata maumivu ya wastani anapokuwa kwenye siku zake za Hedhi, hali hiyo humtokea mara chache sana wakati mwingine baada ya miezi 4-6 ndio...
Habari zenu wakuu natumai mu wazima,nimeona nkimbilie huku maana hospital nishapitia.Kama mjuavyo mambo ya ajira mpya nmetupwa kijijn huku,baada ya wik 2 mwil nahis umechoka,joints znauma kchwa...
Wakubwa salamu natumai mu wazima naombeni msaada wenu ni nini kinasababisha kuwa na uvimbe kwa mwamaume pembeni ya ume na pia ni kitu gani kinasababisha uume kupata majeraha ya michubuko hata bila...
SABABU 3 ZA KUTOTUMIA PLASTIC YA MAJI ZAIDI YA MARA MOJA..
Matumizi makubwa ya maji ya kwenye chupa ni kile kipindi cha jua kali. Wataalam wanasisitiza kutotumia chupa hizi zaidi ya mara...
Ana umri wa miezi kumi sasa. Ametokewa na vijipele vidogo vidogo vinavyomuwasha mwili mzima.
Tatizo hili lilimuanza akiwa na miezi 4 hadi sasa ana miezi kumi tatizo bado lipo.
Dawa alizotumia...
Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa. Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata...
Mim ni kijana umri miaka 28, Nina mchumba wangu nipo nae kwenye mahusiano mwaka wa nne sasa. Ila Ana tatizo ambalo lilimuanza 2014, alipata bleed miezi miwili mfululizo. Akaenda hospital akapimwa...
Naomba kufahamishwa juu hatua za kuchukua ilikuweza kupata huduma ya DNA test kwa nchi yetu(TZ) gharama zake na hospitali gani zinatoa huduma hiyo? Natanguliza shukrani
Wadau namshukuru mungu kwamba mke wangu ni mjamzito.
SWALI. Je katika hatua za awali za ujauzito(2weeks--3months) Ni vitu gani ya muhimu vya kuzingatia Ili kumpa afya bora mama Na usalama WA mtoto...
Habari za kazi madaktari.Nina maumivu makali sana ya tumbo katika upande wa kulia wa tumbo,pale zinapoishia mbavu kwa chini kidogo.Hali hii pia ilitokea mwaka 2008 nikiwa morogoro.miongoni mwa...
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata...
nilianza kutokewa na vipelele kwenye vidole ambavyo kukiwa na joto vinawasha nikaanza kutumia cream kama gentrizone lakin havikuisha nikawa naogoe detol lakin wapi nikaenda hospital doctor akasema...
Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kama CHUMVI YA MAWE inafaa kutumiwa na mtu mwenye shinikizo la damu badala ya ile ya kawaida tunayotumia majumbani.