Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili...
HIV has completely disappeared from the blood of a patient in clinical trials. The new HIV treatment that can target the virus even in its dormant state by activating latent infected cells and...
Katika somo hili tutaona umhimu au faida 12 za majani ya mti wa mstafeli katika afya.
• Juisi yake hutibu kansa haraka na kwa ufanisi zaidi
• Ina nguvu mara 10,000 zaidi ya tiba ya mionzi katika...
Rejea kichwa cha habari juu.
Ni siku ya tatu sasa toka nmefanya mapenzi na mdada wa kazi hapa home sasa uume wangu umedinda mpaka Leo umesimama nini tatizoo msaada plzz
An HIV vaccine developed at the University of Oxford has kept 5 out of 15 patients completely free of HIV. One of the patients has already been clear for 7 months.
AIDS affects over 36.7 million...
Habari za wakati huu waungwana.
Nakumbuka week kadhaa nyuma niliomba msaada wenu kwa hali ninayoisikia katika mwili wangu.
Nilikuwa ninahisi maumivu sehemu za mbavu zote mbili pia nilikuwa...
Wakuu,
Kwa kawaida sipaki mafuta mara kwa mara usoni kwakuwa uso wangu unamafuta. Hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana uso hadi shingoni na kuota vijipele vidogodogo. Na kuvimba pia.
Nimetumia...
Habari za sa hizi wana jf.nilkuwa nauliza kunamadahara yoyote ukitumia dawaa ya kuweka ukeni pindi unapokuwa mjamzito....kwa ajili ya tiba ya miwasho??
Tafuta mti ambao juu yake umeota mti mwngine
Ukiupata fanya yafuatayo
Chukua mihogo 2 ambayo inapacha nenda nayo pale ktk ule mti ukifika umwagie maji yaliyo na unga wa mtama mweupe na maji...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imesema itaanza kutoa huduma ya kupandikiza figo kuanzia Mei, 2017. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Tiba wa Hospitali ya Muhimbili, Dk...
Napenda kujua ni kwa nini kuna utofauti wa taarifa ya majibu ya vipimo vya ultrasound kati ya hospital moja na nyingine kwa mgonjwa yuleyule hasa wajawazito! Je ni hali ya kibahatisha tu, au ni...
Siku zote amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi...
Lakini leo hali imekua tofauti, yuko kwenye hedhi lakini anasikia maumivu makali kwenye kitovu(kwa ndani)
Je, hali hii...
Habari wakuu,
Kijana wangu wa miezi nane anasumbuliwa na vipele ambavyo vinakuwa na usaha ndani. Vinamuwasha sana kiasi kwamba hawezi kulala na hata akilala basi atastuka muda mfupi.
Kwakweli ni...
Hello wanajukwaa. Natumai mu wazima. Nina rafiki yangu tulikua tunatembea usiku maeneo ya Morogoro Mvomero huko karibu na Mindu. Ghafla akang'atwa na nyoka ambaye hatukumuona, kama kawaida...
Kichwa cha Habari kimeshajitosheleza naombeni tu 'mtiririke ' ili tupeane ' maujanja ' ya tiba kama kuna mwenye uzoefu na hizi aina za ' majanga ' ya bahati mbaya.
TAHADHARI!
Jihadhari usinywe dawa aina ya 'paracetamol' iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawa mpya, nyeupe sana na ni dawa inayong'aa sana: madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo...
habarini naomba kuuliza kwasababu sina ukweli juu ya hili,,wanasema ukiwa umepata ajali ukavunjika mguu ukaenda hospital ukawekewa chuma hauruhusiwi kufanya mapenz mpaka upone,,swali ni je kuna...
1.UNGA WA MKAA.
Unaweza kuupata kutoka kwenye mti wa mkuyu,kifuu cha nazi,msonobari na mkaratusi (eucalyptus .
Jinsi ya kutayarisha:~
Choma kifuu cha nazi hadi kiwe mkaa na usage uwe unga. Kwa...