Kama mnavyoona hapo. Nimetokea kupenda huu mchanganyiko siku za karibuni. Hii ngano si ndio yale ya kijenetiki? Na haya maziwa ya unga mtu akitumia kila siku madhara yake nini? Maoni yenu tafadhali
Hili ni tunda lenye virutubisho vingi na muhimu kwa afya zetu, na inaelezwa kuwa tunda hili huenda likawa ni mbadala wa vyakula vya nyama kwa jinsi lilivyo na malighafi zote zilizo muhimu ndani...
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.
Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate...
Habari za hapa. Nimepata hili
Nilitumia fluconazole one tab for 14 Nimemaliza. But cha kunishangaza even kwenye penis na ndani ya kuta za mdomo kwa pembeni Nimeona kitu kama uduara,
Jr doctor...
Nina mchumba wangu kwa kipindi cha mwanzo alikuwa anabreed vizuri tu lakini sasa anabreed mabonge mabonge ya damu,tatizo ni nini na kuna mazara kwa hali yake anavobreed saizi??
Habari...
Kwa anaejua daktari mzuri wa magonjwa ya wanawake please anijuze...
Especially kwa Dar....au hata hospital nzuri yenye inatoa huduma nzuri kwa magonjwa ya wanawake....
Ndizi ni miongoni mwa tunda lenye ladha nzuri na hupendwa na watu wengi katika nchi mbalimbali hapa ulimwenguni ikiwemo Tanzania, ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalam...
Habari za kutwa wapendwa
Naomba msaada mkewangu anatoka ute ulochanganyikana na damu hali hii utokea pindi yuko kwenye siku za hatari na uambatana na maumivu ya tumbo naomba kujua kama hari hii...
Habari waungwana wa JF popote mlipo.
Hivi kuna tatzo lolote la mtoto
Kutokucheza tumboni mwa
Mama yake kwa sku tatu au zaidi..
Pengne hata wiki nzima.
Hapa naongelea kwa mwenye mimba ya kuanzia...
Wakuu nimekuwa nikijisikia hovyo mara kwa mara<mate machungu kujaa mdomon, kuumwa kichwa na uchovu>. Kuna kipindi niliugua malaria na ilijirudia rudia sana, nimejaribu kupima magonjwa mengine yote...
Habari wana jf.
Rejea kichwa cha habari kwa takriban miaka 10 nmekuwa mfuasi mkubwa wa kuangalia porno na nadhani zmeniathiri kisaikolojia siwez kulala bila kupita kwenye site za hizo vitu...
Habari wana JF.
Naomba kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze.
Kuna meseji nimepokea toka kwa rafiki yangu ya kutahadharisha matumizi ya dawa aina ya paracetamol.
Meseji yenyewe ni...
Habari wanaMMU.
Naomba niingie kwenye mada bila kupoteza muda.
Hivi ni kweli ukila chakula chenye mchanganyiko na mafuta ya taa(kerosene) huondoa au kupunguza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa...