Wakuu nadhani ni zaidi ya mwaka nilipost hapa kuwa ninatatizo la kutokwa na mabonge ya damu kwenye mbegu za kiume.
Wengi wenu mlinishauri vizuri sana!!
Moja ya ushauri mkubwa ilikuwa nikapime...
Nawaomba wataalamu mnisaidie maana ndugu yangu anasumbuka sana viungo mbali mbali ktk mwili wake huwa vinavimba na wakati vinavimba huwa anahisi baridi kali pamoja na maumivu makali.
Hali hii...
habari zenu wanajukwaa kichwa cha habari kinajieleza, nina mke wangu ambaye ni mjamzito wa miezi mitatu, tatizo amekuwa akitapika sana hasa majira ya asubuhi na jioni na sasa hawezi kunywa maji...
UBONGO ndio ikulu yako, huratibu na kusimamia kazi zote za mwili ikiwa ni pamoja na kuongea, kufikiri na kuvumbua vitu vipya. Watu wengi wanafanikiwa kiuchumi kwa kutumia vizuri ubongo wao ili...
Habar wakuu, katika pitapita zangu leo nimesikia watu wakizunguazia kipimo kinaitwa Ovulation Test, kwa vile siwajui na sikuwa na muda nikaona nilite hapa wataalamu wanieleweshe kinafanya kazi...
Baada ya kuona malalamiko mengi kutoka wa wakaka kulaumu wadada na wadada kulaumu wa kaka maswala ya usafi wa hili, nimeona kheri niji na hili kwa wale watakaopenda na kuwa na muda wa kuangalia.
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale kuna kitu hua nshindwaga kuelewa katika uumbwaji kwenye swala la mfumo w macho hivi ni nini hutokea hadi mtu kuwa na makengeza tena hutofautiana maana...
Greetings in The Name Of The Most High Spirit and the Mother Nature. I give thanks to Julianne Victoria for the knowledge.
We often ignore, misinterpret, or...
Habarizeni wa dau? Nawaombeni mnisadie mm nimgonjwa na sumbuliwa na Ulcers ambaya ni gesi nyingi tumboni ila sina vidonda tumboni! Ila natinanatumia dawa aina ya LANSOPRAZOL 30mg Kwakwel sina...
Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,
Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani...
Habarini wakuu
Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hosp nyingi, ninaomba kufahamishwa hosp nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba na isiyo...
Nina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali...
Kuna wakati rafiki yangu anajikuta anatetemeka mwili. hasa anapokunywa pepsi au koka halafu akichelewa kula kidogo hiyo hali humtokea hata kama hasikii njaa anaanza kutetemeka ndani kwa ndani...
Salaaam jf
Naomba ushaur na msaaada wa mawazo kwenu mke wangu ana ujauzito wa karibu week 32 sasa.
Ameenda hospitali na akaambiwa ana tatizo la damu na wakamwambia inabidi afanye utaratibu wa...
Habari za kazi ndugu. Jamani tunaomba msaada wenu watanzania juu ya jambo hili gumu sana. Nina ndugu yangu kila akipata mtoto yeye na mke wake, watoto wanakufa baada ya kuzaliwa. Wanapozaliwa tu...