Habari yenu,
Nilikuwa naomba msaada wa dawa au chakula cha kula ili niwe napata usingizi, maana nimechoka kukesha.
Huwa napata usingizi saa kumi usiku na naamka saa kumi na moja alfajiri kwa...
Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu...
Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia...
Wakuu kwa wiki nzima nimekuwa na tatizo kwenye njia ya haja ndogo,kuna muwasho fulani hivi na kama moto unawaka kwa ndani.Nimecheck U.T.I hakuna,STDs hakuna.Sasa Doctor kaniandikia kesho alfajiri...
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz...
Habari wanajf,
Ningependa kufahamishwa ama kuelimishwa juu ya hili tatizo, mpenzi wangu ana ujauzito wenye umri wa miezi minne,sasa hivi amevimba miguu yote huku analalamika kuwa mwili mzima...
Wakuu, nimekua nikisoma forums nyingi huko google kuhusiana na hii kitu "water fasting"...kuna wengine wanasema mwanadamu hawezi kumaliza siku tano kwa kunywa maji tu atakufa. Wengine wanasema...
Kuna mtu anatatizo la kutokwa na vinyamanyama akitaka kunisaidia haja ndogo katumia dawa Sana kapima UTI lkn nothing tatizo inaweza kuwa nn naomba Msaada
Eti wadau,
Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo...
Natumai wote mu wazima wa afya Jamani nina shida kidogo. Nina mdogo wangu wa kike alipata ajali ya kumwagikiwa na mafuta yaliyokuwa na moto tukampeleka hospital bahati nzuri alipona lakini tatizo...
Mfadhaiko
Mfadhaiko ni nini? Ni hali inayotokana na shida, matatizo au dhiki. Jamii, pesa, kazi, na shule ndio chanzo kikubwa cha mfadhaiko. Watu wanapokumbana na hali ya mfadhaiko huleta...
Unajua Madhara ya Dawa za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu?
Kuna baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi uume zao ziwe zinasimama muda mrefu...
Mimi ni kijana nina miaka 22..
Mpaka nafika umri huu sijawahi kufanya mapenzi ..nimekuwa nikiishia kuwataman madem kila siku ila kuwaambia naogopa.
Vipi wadau hii ina madhara kweli? Na kama yapo...
Salaam wakuu
Mimi ni mjamzito wa miezi mitano,tatizo nililonalo nasumbuliwa na jino sana nadhani wengi tunajuwa jino jinsi gani linauma.
Sasa jana nkamwambia ndugu yangu fulani azimio langu la...
Kuamua na kutamka mtu kafa ni kazi ya daktari, daktari anafundishwa namna ya kumtambua mtu aliyekufa. Ili daktari aweze ku declare kuwa mtu amekufa kuna mchakato na mlolongo mrefu wa matukio na...
Salama ningependa kujua kiundani mahusiano ya meno ya juu na kichwa sababu nimesikia case ka mbili ikiwa mtu kakosewa kung'olewa na kumsababishia kifo asante
Hizi ni dawa hatari kwa figo zako
Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti...