Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

1) A pig is a real garbage gut. It will eat anything including urine, excrement, dirt, decaying animal flesh, maggots, or decaying vegetables. They will even eat the cancerous growths off other...
4 Reactions
119 Replies
14K Views
Msaada tafadhali.Kuna visundosundo vimenitokea kichwani sasa miaka minne.Tiba yake ni ipi?msaada tafadhali kwani vinaongezeka kila siku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku 5 sasa toka nipate bint la Kimanyema sasa naona anaugonjwa ndo Kaniambukiza na mke wangu ndo kasafiri anarudi jmosi sasa itakuwaje na mimi ndo niko kwenye Dozi na mke wangu nitamwambia nini
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na mafuta (Cholestrol) na wanga...
6 Reactions
30 Replies
11K Views
Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama uterine myoma au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Tatizo hili huwakumba wanawake wengi ambapo huwapata...
6 Reactions
0 Replies
13K Views
Habari za Asubuhi wadau,naomba mnijuze kuhusu hili suala. Juzi nimenunua pakti la korosho pale Kisutu sokoni zikiwa fresh zikinukia vizuri, nikaanza kula kidogo. Kwa kuwa nilinunua kilo nzima...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
wadau naomba msaada nifanyaje nitumie dawa gani maana nilikuwa naenda kwa kinyozi kunyoa ndevu nilivyofika tu nilihisi kama nimepaliwa nikaanza kukohoa mfululizo nikaomba maji ninywe hayakusaidia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF, Nauliza hivi, huwa ma-genius wanazaliwa na huo u-genius au wanatengenezwa? Are genius made or born? Naombeni msaada wenye maelezo maana najua wataalam wapo wengi humu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Naomba msaada jamani, mimi nina matatizo huwa naumwa tumbo tarehe 25 la blidi alafu blidi yenyewe naweza kuja kuingia kuanzia tarehe 6 alafu tarehe zinabadilika badilika.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi mimba ya wiki moja au mbili inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Then, hii ipoje.. Baada ya mwanamke kupitiliza siku zake kadhaa za hedhi anaamua kupima mimba then kipimo(UPT)kinaonesha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF, Mwenzenu natatizika kidogo hapa! Inaweza inaonekana kama suala la kijinga lakini ni bora tuliongee hapa! Mimi ni kijana mtu mzima tu, umri wangu ni 23, na niko higher...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Msaada doctor nataka niulize mara nyingi baada ya kupata kufungua kinywa I mean breakfast na hata chakula cha mchana nikila lazima niwe na uchovu Sana na hata kulala sijajua kuna uhusiano gani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
0 Reactions
6 Replies
30K Views
Habari za asubuhi waheshimiwa wa Jamii Forums, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nina tatizo la maumivu kwenye goti la mguu wa kulia upande wa nje na hii ilitokana na kuruka umbali mrefu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
SERIKALI imeonyesha jitihada kubwa katika kupambana na ugonjwa wa malaria ambapo maambukizi yanatajwa kwamba yameshuka kutoka asilimia 18 kwa mwaka 2007/2008 hadi asilimia 10 mwaka 2011/2012...
1 Reactions
0 Replies
954 Views
Habari wakuu.Hivi kuna tatizo lolote la kiafya kwa mtoto kuanza kutoa meno ya juu?. Maana nina binti yangu wa miezi saba jana nimemcheki mafizi ya juu yamevimba na vijino vipo kwa mbali vinachoma...
0 Reactions
13 Replies
21K Views
  • Poll Poll
Salam zenu wadau Naomba mnisaidie yafuatayo : _nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua ana mwezi) bila kumwaribu mtoto (asije kua fundi baiskeli)? Au kama Kuna dawa nitajie. _Je ni kinga...
1 Reactions
68 Replies
13K Views
Madaktari wanaonya kuwa utumiaji wa sukari una madhara katika afya yako, Mfano afya ya kinywa, kuozesha meno, uharibifu wa ngozi, kuharibu kinga ya mwili, cancer, mogonjwa ya moyo, kuharibu damu...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF? Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu. Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi...
0 Reactions
91 Replies
13K Views
Habari za weekend wanajamvi? Naomba nije na haka kaswali, mtoto ana miezi minne, kwa sasa mtoto anapata maziwa ya mama kwa sana, uji kiasi si sana na maji kidogo, tuna mpango wa kumuanzishia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…