Wakuu heshima kwenu.
Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila mafanikio.
Pia kifuani kalianza kakipele...
Habar wadau,,umri wangu miaka 20 UUME Wangu ni sentimita 19 (Inch 8.5) sasa kuna muda znanijia hisia za kusex UUME Wangu husimama kwa muda mrefu (zaid ya dk 30) bila kusinyaa ila huwa nakoxa demu...
Addyi (pronounced ADD-ee), a.k.a Flibanserin a.k.a Little Pink Viagra has been approved by US Food and Drug Administration (FDA).
Addyi is designed to help women regain their sex drive by...
Siku zote pedi inatakiwa iwe na uwezo wa kupitisha hewa pande zote yani mbele na nyuma.
Pedi hizi zina technologia ambayo ina uwezo wa kuua bacteria waharibifu wa uke na kuwaacha wanaotakiwa...
Miguu ya wenzetu wengine kuwa na kreki za asili a.k.a Magaga?
Naomba mnaojua tafadhali mnisaidie kwani kuna mtu mimekaribisha kwangu kaja na ndala zake akawa amekunja nne katika kochi bahati...
Kwa wale wajuzi wa mambo,
Ni vyakula gani vinasababisha tumbo kuuma na wakati mwingine kuharisha kabisa ukiwa safarini na hasa safari ndefu za magari?
Manake hii kitu huwa ni balaa, ukiwa...
Za saa hizi ndugu zangu.
Leo nilienda hospitali na kaka yangu kumsindikiza kupigwa ultrasound. Baada ya vipimo kumalizika akakutwa na jiwe kwenye kibofu cha mkojo la 0.72mm.
Amepewe cystones...
Ulana herbal products: Tunatibu magonjwa sugu, malaria, presha, matatizo ya tumbo la uzazi, Pumu, vidonda vya tumbo.
Unaweza kuingia kwenye page yetu ya instragram ulana herbal products au...
Nimejikuta hili tatizo linaongezeka tu.
Yaani nikiwa nimelala napaliwa na mate kaisi kwamba nashindwa kupumua kabisa! as if nakata network baada ya hapo itanichukua muda sana hadi kuja kutulia na...
Wakuu,
Nimepata kibarua kizuri cha kumnyoa msichana wangu sehemu nyeti , Huyu mdada hawezi hata kushika wembe kukata kucha zake and so mdada huyo ajawahi kunyoa maeneo hayo toka nywle zianze...
Mwenzenu nahitaji ushauri.
Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze...
Wakuu habari za asubuhi,
Poleni na majukumu ya hapa na pale, nimekuwa nikipata ndoto za ajabu sana za kutisha hasa kila nikiwa mjamzito.
Tafadhali wenye kuelewa naomba kufahamishwa, mara niko...
Nina rafiki yangu wa karibu anaishi na mwanamke mwaka wa 4 hawajafanikiwa kupata mtoto na huyu mwanamke, ila kipindi cha nyuma kabla hajaishi nae alimpa mwanamke mwingine mimba na kabla hajaishi...
Rafiki yangu wa kribu sana na tunafanya naye kazi ana tatizo kubwa sana la kusinzia hovyo. Hili tatizo limekuwa linamkosesha raha sana kwani akishapanda kwenye basi tu, say Mwenge kuelekea Posta...