Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari wandugu. Madaktari naomba msaada. Nina ujauzito wa miezi miwili,nashangaa ninahamu ya kufanya mapenzi isivyo kawaida. nakuwa natamani muda mwingi kufanya tendo LA ndoa. Je ni tatizo pls help
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je una ungependa kuongeza kinga ya mwili? Tumia Carotenoid Complex Tiba Asilia, Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane 0719 252523 Key Benefits Clinically proven by USDA researchers to boost...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Job Title: Medical Sales Representative Pharmaceutical Company Area: Dar Es Salaam Application Deadline: July 31, 2015 Position Description: A newly established pharmaceutical company is...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Habari Wakuu. Nini chanzo cha nyongo kujaa kwenye tumbo na kusababisha chakula kisisagwe vizuri, kisha unaharisha na kucheua harufu ya ajabu. Naomba ufafanuzi wa kitaalum ikiwezekana tiba. Wasalaam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Ni kwanini watoto wanazaliwa na kichwa kikubwa kupata kiasi (wanaita kichwa kukaa maji) na mdomo wazi hawa wanakuwa wamepasuka kuanzia puani hadi mdomini hawawezi kufunga mdomo jamani...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani naisi nina tatizo mbegu zinachelewa kutoka mwenzenu naweza nikasema hata masaa matatu lakini mbegu ni za kutafuta nikilala na mwanamke mpaka anahisi maumivu na situmii kondomu. Msaada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? Kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu.. Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano...
7 Reactions
198 Replies
27K Views
Ndugu zangu wataalam wa sience kuhusu magonjwa, Kuna masage nimetumiwa inasema hivi, kuna ugonjwa ambao umeingia kwa wanawake ugonjwa huo ni wakuvimba sehemu za mwanamke(mashavu ya uke) baada tu...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Kuna mdau wangu wa karibu sana (age 27) analalamika kuwa tangu amejaribu day 1 kufanya mapenzi hasikii kitu chochote kabisa ameshakuwa na mahusiano na wadada wanne mpaka sasahivi. Sasa...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wandugu nina office - mate amepanda kisukari, anatapika na amepoteza nguvu kabisa. Tunafanyaje mnaojua.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi Jf, Mama yangu anasumbuliwa sana na miguu na pia ana Kisukari. Tushampeleka baadhi ya Hospitali na baadhi ya dawa katumia lakini hazijamsaidia. Naombeni msaada kwa ushauri wenu. Nawashukuru
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi. Ikiwa kuna mtu mwenye tatizo la figo kushindwa kufanya kazi na ameanza huduma ya kusafisha damu au hajaanza, basi nina furaha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Naomba mchango kwa kile ntakchokwenda kukiuliza.Namna yakupata hamu ya kufanya lile tendo (kugegedana)nina mambo yafutayo wataalam najua mpo mnaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Angalieni Pombe jinsi inavyo haribu ubongo katika kichwa cha binadamu.... Tuache jamani kulewa na kunywa Pombe....
8 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari wadau, Jana nimepata wakati mgumu sana ambao sijawahi kushuhudia kabla, pale nilipofika nyumbani kwangu nikiwa salama salmini,lakini cha kushangaza hali ilibadilika ghafla na kuwa nusu...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Pata dawa ya kuongeza CD4 kwa gharama nafuu. Tuwasiliane kwa namba 0712389866
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa. Wengi watakuwa wameelewa maana halisi ya kichwa cha uzi huu. Hapo naamisha wanaofanya mapenzi kinyume cha maumbile. Kwanza nielezee madhara. Madhara ya kufanya ngono kwa mlango...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…