Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hapa kwa Mahuki Msamala Songea pana clinic ya mazoezi kutoka kampuni ya CERAGEM. Pameandikwa Nazareti clinic.Ambapo wanakulaza chali kitandani na hicho kitanda kinakunyosha kiuno, mgongo, miguu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Beyond Jewish literature and the Christian religion, Israel as a nation has another contribution to humanity, it is the mustard seed which is now used extensively for healing purposes. The...
0 Reactions
1 Replies
29K Views
Ninacheua tokea jana mpaka leo nahangaika jamani nitumie kitu gani ili nirudi katika hali yangu ya kawaida. Msaada tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wana JF. Ninaomba msaada kama kifaa hiki Prepex kinapatikana kwenye maduka ya dawa au kama ni hospitali ipi? kwa hapa DSM. na ni shs ngapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 28, nimeolewa na nina mwaka sasa ila sijashika mimba. Ninahitaji kupata mtoto. Nimekwenda kupima nikaambiwa nina fangasi kwenye njia ya uzazi na cyst kwenye...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Wana Jf, Mimi nilienda kupima, nikakutwa nina Typhoid, nikaandikiwa dawa nikaenda kununua cpro vidonge 20 nikatumia kwa muda wa siku 10, baada ya kumaliza doz, sikupata matokeo mazuri. Yaan...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana Jamii forums, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20, tatizo langu kubwa ninasumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na uti wa mgongo kwa takribani miaka 3 sasa, nilishawahi kutumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HABARI WANA JF Mimi ni kijana wa miaka 19 nasumbuliwa na kuumwa na kichwa, kinauma sana sana na kinabana kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Kikiuma hakielewi A wala B, nimekwenda hospitali bila kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kukakamaa kwa misuli ya tumbo hasa wakati wa usiku, ni ugonjwa gani na je unatibikaje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za maandalizi ya Eid wadau wa JF Doctor? straight to the point, mie na mke wangu tunatumia njia ya uzazi wa mpango ya kalenda. Sasa safari hii hajaziona siku zake yapata mwezi sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
wakuu kipindi kilichopita meno yangu ya mbele yalikuwa na weusi flani ivi pembezoni mwa jino la kwanza na lapili,ikabidi nizibe hospitali basi nikamua kuziba sasa kila yakibomoka naziba yapata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Israeli researchers have discovered that cannabis can be effectively used in healing broken bones and maybe other skeletal illnesses. Scientists from the Tel Aviv University revealed that...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Ndugu zangu naombeni msaada kwa anayejua dawa za asili kwa ajili ya homoni au mahala inapouzwa maana nna tatizo la siku zangu kutokua na mpandilio mzuri na hospitali wameniambia nna tatizo la...
1 Reactions
9 Replies
38K Views
Habari za sikukuu wakuu naomba mnisaide hata ushaur nahitaji mtot ila tatzo nimeambiwa tatizo homon hazijabalance na mirija imeziba nahitaji kujua sehem nzur ya tiba ya kienjeji au hospital...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 na mnamo 11/12/2012 nilipata ajari ya kuangukiwa na kitu kizito pajani karibu na goti na nilipopelekwa hospitali walinipatia dawa za kutumia tu na...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Dawa hizo za vidonge ziko kwenye maduka mengi ya madawa. Ukienda famasi ukasema unahitaji vidonge vya fansida aina ya "ROCHE" ambalo ndilo jina na brand ya dawa hiyo, basi muuzaji atakuletea hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asalam Aleykum.. Uvutaji wa Sigara endapo utazingatiwa kwa kipimo maalumu unaweza kuleta matokeo chanya zidi ya magonjwa mbalimbali pamoja na kinga. Yafuatayo na magonjwa yanayoweza kutibiwa au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukipiga masta huzai
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Peanuts pack a serious nutritional punch and offer a variety of health benefits. Here is a breakdown of all those nutritional and health benefits according to whfoods.com . 1.They are good for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…