Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu, nina mdogo wangu, mara ya mwisho kuona siku zake ni tarehe 16/5. Je, kama ni mimba itakuwa na muda gani? Thanks in advance. ===== Mimba inaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya hedhi...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Wakuu ipi ni specialization nzuri kati ya hizi; 1.Microbiology and immunology 2.Clinical chemistry Shukrani kwa msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hebu nisaidieni, Hii inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa au kawaida? Mi nimekuwa nina kucha Ngumu vibaya mno, siwezi kuzikata na kiwembe zikikua, nail cutter ndogo huwa zinavunjika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nisaidieni wanaJF, Mimi ni mwanamke nina miaka 35, nimeshakuwa na mahusiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha, mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya...
3 Reactions
153 Replies
32K Views
MADHARA YA MKATE MWEUPE (WHITE BREAD) KWA NINI USILE TENA MKATE MWEUPE KUANZIA LEO? Mkate ndiyo chakula kikuu cha kila siku cha familia nyingi duniani, hasa sehemu za mijini na ndiyo chakula...
5 Reactions
5 Replies
9K Views
Tunatibu kisukari, pressure, upungufu wa cd4, upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya moyo, miguu kuvimba na kupasua, chango, uchovu wa mara kwa mara, na maradhi mengne. Dawa ni fresh na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, Ni muda wa miaka 13 nlikuwa naumwa kifua kinawaka moto, nimeenda Regenc Hosp nikafanyiwa Endoscopy nimeambiwa nina GERD 2 SMALL Hiatus Hernia ninasikia tiba yake ni op sasa hakuna dawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanaboard.Kuna baadhi yetu huwa tunapenda ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya kusex,kunyonyana ndimi na midomo.Sasa kumekuwa na msisitizo sana wa ngono salama ni kuvaa kondomu.Je mtindo huu wa...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari wana MMU. Inasemekena kuwa kuangalia sana video za ngono na picha za uchi zinapunguza nguvu za kiume. Swali langu na jiuliza kuna mahisiano gani kali ya hiyo video na nguvu za kiume hadi...
0 Reactions
80 Replies
59K Views
Nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikapiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa. Je naweza pata UKIMWI na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Wadau pumzikeni kidogo kuhusu siasa za akina lowassa na Jk. Nimesikia kidogo kuhusu hii dawa/majani ya chai kuwa yanatibu magonjwa mengi kama; Presha Kisukari Kansa Aleji Na mengine mengi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla...
3 Reactions
95 Replies
21K Views
Kwa ma doctar na wanaofahamu zaidi dawa ya p2 huwa inafanya kazi hadi mda gani? Na kwa mfano umetoka kufanya unprocted sex na ukaimeza baada ya masaa nane ukaanza dozi yake itakuwa inafanya kazi...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Ndugu jamaa zangu, Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar wala si mfanyabiashara wa madawa na sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo. Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu zangu, leo ni siku ya pili nina maumivu ya kifua (kinauma kwa ndani) lakini sibanji na wala sikohoi mfululizo. Siwezi kuvuta pumzi (deep inhale), niki/inama/inuka/lala au nikijigeuza nahisi...
1 Reactions
3 Replies
27K Views
Habari wakuu, Nimesikia kuna njia mpya na ya kisasa ya kutairi watoto wa kiume kwa kutumia vifaa maalum na nimesikia kwamba mgonjwa anapona kwa muda mfupi zaidi kulinganisha na njia ya zamani na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I’m an avid drinker (of water of course) and was refreshing to learn a new spin on how to drink it. I was first introduced to the concept of drinking lemon water when I read an article on infusing...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari gani wana janvi?! Kwa anayejua sehemu wanapotoa training ya meditation au meditation guid. Hapa dar! Natanguliza shukrani zangu za dhati!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari JF. Mimi ni mama mjamzito mimba imeshaanza mwezi wa nne. Tatizo langu kubwa usiku ninajigeuza sana mpaka naogopa. Naomba mnisaidie ni hali ya kawaida au nitakuwa nina tatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri miaka 29 Tatizo langu ninawahi sana kufika kileleni maana ninapoingiza tu kichwa cha uume hapohapo nnakojoa wakati mwingine hata kabla sijaingiza...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…