Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni kwa muda mrefu nilisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa vidonda vya tumbo..hakuna dawa ambayo niliisikia,niliambiwa,niliona ikitangazwa kwenye media mbalimbali ambayo sikuinunu a bila kujali...
0 Reactions
25 Replies
25K Views
hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Warts inaweza kutokea kwenye mikono. Sehemu zilizoota vinundu ni vinyama vilivyoota na ukiviangalia kwa makini vinamwonekano kama taulo. Ni ugonjwa ambao pia unaweza ukatokea kwenye kiungo...
2 Reactions
6 Replies
9K Views
Nitumie nini? Ili nywele zangu ziwe nyeusi, nzuri, zenye afya na zisikatike. Kama ntawekewa njia za asili za kupendezesha nywele zangu ntafurahi Zaid.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kama unaweza kunisaidia nisaidie kashfa na majungu hayajengi tatizo langu huwa namwaga sperm zikiwa zimeshikamana yaani ni kama mafuta ya mgando ndani ya majimaji au mda mwingine bila majimaji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Yapata miezi 6 sasa toka nianze tokwa na vipele hospitalini, tube nyingi na sindano nimetumia bila afadhali. Kuna msamaria akanishauri nitumie dawa aina ya BBE, nilitumia ikanipa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wana Jf habari za mchana... Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajf,
0 Reactions
10 Replies
4K Views
watalam je kuna dawa ya kutuliza maumivu ya mifupa hasa miguuni ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je wajua ku socialize kazini ni muhimu sana kwa afya yako wewe mfanyakazi? Ku-socialize kazini na wafanyakazi wenzako kunakuondolea stress kwa kuufanya ubongo wako kuchangamka. Hivyo wale wenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
latest news Handball team fails to secure passports... Publish Date: Mar 03, 2015...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa Kidoletumbo hakina umuhimu ndani ya mwili wa binadamu zaidi sana ni matatizo tu pale kinapojaa mchanga na mawe, na hata kusababisha kifo kikipasuka ndani ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama kuna kitu kama nyoka kinatembea tumboni(kama nyoka dhaifu) upande wa kushoto na hasa wakati mtu anapokaa au kuinama(folding of stomach) ni nini?Hakuna maumivu ila 'kero'
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au...
0 Reactions
41 Replies
22K Views
Watu wanaolala kwa zaidi ya masaa manane kwa siku wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kiharusi,utafiti umesema lakini wataalam hawajua sababu yake.Utafiti uliofanywa kwa takriban watu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari yako, Natumaini u mzima wa afya, nina mtoto wangu ambae alitahiriwa Ijumaa, lakini naona amevimba kwenye ile ngozi ya kawaida, Je nimsaidiaje? Hospitali nimeambiwa nimpake Asali, kidonda...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sleep plays a vital role in good health and well-being throughout your life. Getting enough quality sleep at the right times can help protect your mental health, physical health, quality of life...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kustusha kuhusiana na upatikanaji wa damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Hali ni mbaya. Inaelezwa kuwa hivi sasa, hospitali hiyo ambayo ni ya rufaa ya taifa imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Did you know that worldwide, 80%of all infectious disease may be water related? Did you know that diarrhea diseases traced to contaminated water kill approximately 2million children and cause...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zetu wana JF .... nataka kuandika makala fupi kuhusu Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) what is GERD Gastroesophageal reflux disease (GERD) is a condition in which the stomach...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…