Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jumuiya Ya Madaktari Wa Marekani Imetoa Majibu Ya Vyanzo Vya Cancer:- 1.Usinywe Chai Kwenye Vikombe Vya Plastic Kuanzia Sasa 2.Usile Chochote Chenye Moto Kilicho Ndani Ya Mfuko Wa Plastic Mfano...
2 Reactions
48 Replies
16K Views
msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu naomba kuuliza kama kuna vidonge asilia vya kutibu tatizo kutosikia vizuri, kama tiba hiyo ipo ni wapi naweza kuipata kwa jijini Dar, na vipi gharama ya yake hadi kupona?na ni dozi ya muda gani?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimehangaika sana, kiuno kinaniuma hata wakati mwingine siwezi kuinama, na kukaa inakuwa shida. Madaktari wengine wananiambia ni nyonga imeshtuka, wengine damu chafu (ESR 30 MLS) dr mwingine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habarini wakuu, siku 3 nyuma nilienda hospital kupima nikakutwa na typhod na malaria 9. Sasa dr akaniandikia metakeflin na cypro mg 500. Metakeflen nimemeza vyema lakini cypro nimemeza vidonge...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari! Wana jf Doctor sijaelewa tatizo nini mpaka sana mimi nimeowa na mke wangu sasa ni mjamzito wa miezi nane na nusu siku zote huwa nafanya naye mapenzi bila kinga na tunaamiana wote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, pole na majukumu na heri ya mwaka mpya 2015. Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano ya hospital ya CCBRT, nina mgonjwa anatakiwa kutibiwa hapo ila makadirio ya gharama sijayapata...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenu siku za karibuni nimeandamwa na janga la usingizi mwingi usioisha yaani hata kama nikilala mchana lakini ifikapo saa 2 usiku naandamwa na usingizi hata siwezi kujizuia...
0 Reactions
18 Replies
17K Views
AFYA YA AKILI Ni mjumuiko wa hali ya mtu kuwa vizuri kihisia, kisaikolojia na kijamii. Hii inahusisha jinsi ambavyo mtu anafikiria, anavyohisi,na jisi anavyotenda/kufanya mambo yake. Inamaanisha...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
naomba msaada juu ya hatua za kufuata kupima DNA, pamoja na garama zake
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mtoto mwenye umri wa miezi mitatu, mkazi wa Buza, Dar es Salaam amebainika kuwa mwathirika wa dawa za kulevya. Mama wa mtoto, Zena maarufu Zerish, mkazi wa Yombo Buza alikiri kwamba alipata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii doctor naomba kujua kama kunafaida yeyote ambayo unaweza pata baada ya kufanya ufuska au mapenzi ikiwa vijana wengi hupenda kufanya je ina faida yeyote kiafya?,thanx wadau...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau inakuwaje nina addiction ya kushika maeneo ya siri kisha kunusa. Kira mala ninaweka mkono kunako uvunguni kwangu ninashika ute ute nanusisha puani nardhika. Hapo nyuma adiction ilikuwa pia...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mke wangu ana matatizo haya; 01- kutokwa na vipele ndani na nje ya "uke". 02- ki mkojo mkojo cha mara kwa mara kikiambatana na maumivu wakati wa kukojoa na hauwi mwingi. Ila hali hii...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Mke wangu ana matatizo haya; kutokwa na vipele ndani ya UKE na kwenye mashavu, kimkojomkojo cha mara kwa mara kikiambatana na maumivu, ila tatizo hili hutokea mara tu baada ya kujamiiana kwa...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Jamani nimani sinatatizo atakidogo, lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa, imflazone nimemeza.niambiani basi.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…