Habar wakuu,
Naomba kujuzwa, hivi kama mtu alipata period tarehe20 august akapata tena tarehe20 sept. mzunguko wake unakua niwa cku ngap? 28 au zaid? na ovulation inaweza anzia tarehe zipi?
Habari zenu! Nna mimba ya miezi sita naelekea saba! Tatizo langu ni kwamba nkila chakula hata kidogo bas mim nakuwa napata shida sana! Nkiwa ofisini kukaa kitini cwez nahangaika yaan utanionea...
Photo by Getty Images
Listen up, men: A new study has found a way for you to reduce your chances of having a heart attack by a whopping 86 percent. All you have to do is exercise regularly, eat...
Salama humu ndani?
Jamani naombeni mnipe uzoefu nyie ambao mmeshakua na watoto na mna uzoefu hata kupitia vitabu tofauti.
Ovulation day ya wife wangu ilikua ni tar 12/9 na ndo kwake ilikua siku...
Salaam kwa wana JF wote, nipo hapa kuelimishwa juu ya ugonjwa wa MATEZI, kujua yafuatayo...
1.Matezi yanasababishwa na nini ?
2. Dalili za matezi ni zipi?
3. Utajijua vipi kwamba unasumbuliwa na...
Ndugu zangu naombeni msaada wenu make mashine yangu inanichanganya kwani nikienda ni dk 3 halafu inalala kuamka tena mpaka baada ya saa 1!! jamani naomba mnisaidie!!
Na dada yangu anakosa usingizi kabisaaa nimehangaika vya kutosha japo mm ni muislam lkn ilifika kipindi nikawa nawatumia hata wanamaombi wa kilokole kuja kumuombea lkn wapi mashekhe nao lkn wapi...
http://foodfacts.mercola.com/amaranth.html
What Is Amaranth Good For?Amaranth AdvantageBotanical name: AmaranthusCultivated by the Aztecs 8,000 years ago and still a native crop in Peru, the...
hi doctors,kuna mwanangu ana umri wa mwaka mmoja sasa na sielewi kwann hapati usingizi.
yaani iwe mchana iwe usiku kulala ni kwa mbinde..mchana anaweza lala mara mbili lakini kila akilala ni kwa...
Hello jf members
nahitaji msaada ni sehemu gani nitampta daktari wa wanyama, nahitaji kumzuia paka wangu asizae!!
if possible nikipata full details zake, i will be gratefull
hope to get help...
Habarini wanajamvi
mimi ni mwanafunzi kidato cha sita mkoan pwani nasumbuliwa na usingizi mara kwa mara hasa baada ya kula muda wowote kwa anaeijua tiba..
Za saa hizi waungwana. Mimi ninaumwa jino na nipo Kilimanjaro.
Nasikia hindu mandali wanauwezo wa kutoa jino bila sindano au wanakupaka dawa afu wanakuchoma sindano bila maumivu.?
Na je bima ya...
Naomba kupata majibu ya uhakika kuhusiana na utengenezwaji wa condoms kama nilizo zitaja hapo juu, kwamba zinatengenezwa hapa tanzania au huwa zinanunuliwa kutoka nnje? Na, Hawa PSI Tanzania ni...