Ndugu wataalam wa JF doctor, tunaomba mtupe elimu kidogo au kwa kina juu ya madhara ya kung'atwa na jino la binadamu. Kuna wanaosema jino lina sumu hivyo mtu akikung'ata unaweza kufa.
Je kuna...
Natumai mu wazima ndugu wana jamvi na mnaendelea kutafakari bajeti ya kwanza ya mh. SAADA MKUYA!
Pamoja na hayo naomba kufahamu hili jambo kama kweli kuna uwezekano wowote kwa mama kumnyonyesha...
Habari za kunyumba wakuu, tumekua tukisikia mda mrefu kuhusu madhara ya simu kwa uzazi wa mwanaume. nimeona ni-copy na ku-paste habari hii ya leo kama ilivyo nisije ongeza neno...
Kwa wanaopenda tiba natural (asili) kwa macho yanayouma na kutoa machozi tumieni karoti kila siku (japo mzizi mmoja), kunywa maji ya kutosha na mboga za majani (zisiive sana). Macho yako yatarudia...
Painful Mosquito-Borne Virus Surfaces In The US
CDC
A painful, mosquito-borne viral illness has surfaced across the United States, carried by recent travelers to the Caribbean where the...
Mimi ninamtoto na jirani yangu pia anamtoto mchanga, mtoto wake anaonekana kama anamatege hivi, jee anaweza kumtibu kabla mtoto hajakua; mtoto wake anamiezi minne.
Karibuni
Hi JF members?
Mke wangu alianza safari juzi kafika leo huko alikokua akienda ni mbali sana, lakini amenipigia sim anajisikia vibaya tumboni ukizingatia ni mjamzito wa miezi 6,
Je, hiyo...
Je genital warts yaani kwa jina jingine sunzua, yaani vipele vigumu sehemu ya siri kwenye nywele vinamadhara kiasi gani katika afya ya uzazi?.
Ningependa kupata experience kabla sijaingia kwenye...
Habari wadau,
Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.
Mishipa ya shingo inauma na...
Habari za wakati huu wapendwa....
Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu...
Mimi ni mwanaume niliyeoa hivi karibuni. Siku za hivi karibuni nime-note kitu hiki, baada ya tendo la ndoa usiku asubuhi nikitoa aja ndogo inaambatana na shahawa.
Naombeni msaada wenu, nini...
Anyone ashaskia about this condition? I have had it for a year now; it is very painful...ni maumivu upande mmoja wa ---- kwa ndani caused by nerve friction [nerve inaitwa sciatic]
Nimetumia...
Nimetokwa na vipele vigumu ukeni,havitungi usaha,haviwashi,haviumi wala chochote ..
Nimetumia tube ya candiderm,sonaderm,skineal lakini hamna maendeleo nmekunywa dawa ya fangasi lakini pia...
Wadau,
Poleni na pilikapilika za kila siku. Samahani, naomba msaada kutoka kwa wataalam wa ngozi. Kwa kawaida, ngozi yangu muda wote imekuwa ikionekana kuwa na mafuta mengi sana hasa usoni...
Wadau na hasa Madoctor wa JF mnaotembelea humu nawaombeni kuwauliza yafustayo na mwenye jibu sahihi tafadhali saidie sio kuleta matani mwenzenu nina shida.
Hivi inawezekana kama unaupungufu wa...
Mama yangu anasumbuliwa na mguu, tulivompeleka hosipitali akafanyiwa x-ray na kuambiwa disc ya pingili za mgongo imesogea, wakampa dawa ila bado tatizo halijaisha kama kuna anayejua tiba yake...