Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mwezi wa saba sasa nahangaika sijapata suluhu...napata kiungulia kama moto unawaka kifuani...jamani msaada ndugu zangu...nimetumia dawa za vidonda vya tumbo lakini za kienyeji na hospitali...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Mwanamke akichunguzwa iwapo ana saratani ya matiti hospitalini. Mazoezi yanaweza kusaidia kupona baada ya kuugua saratani ya matiti lakini ni wanawake wachache sana wanashiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sisi binadamu tunapaswa kuwa wasafi kimwili maana tusipofanya hivyo tutakuwa na harufu mbaya sana. Mfano unafanya kazi katika mazingira yanayosababisha kutokwa jasho katika mwili. Usipooga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwanamke anaweza kupoteza uwezo wa kuzaa kuanzia umri wa miaka 35 Mtangazaji mmoja mwanamke anawashauri wanawake kuweka mipango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya humu ndani wadau. Ninahitaji msaada wa haraka kutoka kwa yeyote anayeweza nisaidia ikiwemo mawazo. Mama yangu ana miaka 70 sasa. Kama miaka 3 iliyopita alifanyiwa operation ya goti MOI...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FAIDA YA MAFUTA YA UFUTA Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matatizo ya kiafya yanayowakabili wajasiriamali na watu wengi kwa ujumla. Katika kusoma soma vitabu na taarifa nyingi katika mtandao...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Tangu mwezi wa pili mpaka leo nina ujauzito wa miezi 8. Mguu wangu wa kulia unaniuma sana. Je? nitumie dawa gani au dalili gani hizi? Msaada jaman napata tabu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natalaji muwazima.. Jamani kwa mtaalam anaejua namna nzuri ya matumizi ya matunda atuongoze hapa ya kwamba, 1. nimatunda yapi ambayo waweza kula kwa pamoja na yapi huwezi kula kwapamoja? mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za humu wana JF Nina tatizo moja ambalo linanitatiza sana, nimekuwa napenda kwenda kavu sasa nikijaribu kuacha na nikianza tu kuvaaa condom on the sport na loose my ETRCTION. Msaada please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu msaada, zile nyuzi absorbable zinapotea baada ya mda gani tangu kushonewa kwenye kidonda?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo tutachambua kwa undani saratani ya ngozi iitwayo Melanoma kwani saratani si tu kwamba ni ugonjwa hatari lakini pia ni ugonjwa unaompa mwanadamu mateso makali kutokana na maumivu anayoyapata...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Wakati soda za kupunguza uzito au diet soda zinapendwa na kutumiwa sana hasa na watu wanaohofia suala la uzito wa miili yao na kiasi cha kalori wanazokula, uchunguzi mpya umeonyesha kuwa oada hizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni hali inayoweza kujitokeza kwa mama mjamzito hasa katika kipindi cha umri wa mimba chini ya wiki ya 28. Baadhi ya sababu zinazoweza sababisha ni i) Kutoka kwa mimba\ ii) Mimba nje ya mji...
2 Reactions
0 Replies
93K Views
Wana JF, kuna hili suala la usafi wa kinywa. Kwa utani wengine wanaema "jino moja mswaki wa nini" na pia mswaki unaitwa mswaki wa meno! Je ni mswaki wa meno au wa kinywa? Je ni wngapi hutumia...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Naombeni msaada wenu wa hali na mali maana mchumba wangu anapatwa na mabadiliko ya mara kwa mara kama kutapika nakadhalika. Mimba yake ni ya kwanza jamani naombeni mnifungue macho.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam kwenu wote wapendwa. Kabla sijatoa langu la moyoni ningependa ku-declare interest kwamba mimi ni daktari. Ninaipenda, ninaiheshimu na ninaithamini sana profession yangu. Nimekuwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tatizo la uume kushindwa kusimama au kubaki katika kusimama kwa uume ni dalili ya mwanzo yenye kutoa onyo/tahadhari (warning sign) kuwa kuna ugonjwa wa moyo. Ambapo kama litaachwa kyshughulikiwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
jamani wana jamvi,naombeni msaada juu ya hili nina ng'ombe wangu ni wa kienyeji na anamimba kubwa tu ila anatabia ya kula rambo so tumbo lake limekuwa kubwa sana.sasa naombeni kujua dawa ya tatizo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naombeni mnijuze kazi na umuhimu wa asali ya nyuki wadogo katika mwili Na pia naombeni mnieleze utofauti wa asali mbichi sijui na iliyoiva Asali ya nyuki wadogo na wakubwa Na kazi zao mwilini...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi kuna chakula gani kipo ndani ya maziwa mgando(mtindi) na nini faida yake mwilini?
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…