Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

TOFAUTI na vyakula vingine, ndizi zinafaida kubwa sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ndizi zina virutubisho vya aina mbalimbali kama vile, protini, mafuta...
4 Reactions
2 Replies
15K Views
heshima wadau. Hivi mtu unaweza kubadilisha damu yote mwilini? Kuna watu nasikia huwa wanakwenda kubadilisha damu nairobi na nchi za nje. Kwa wataalamu naomba kuelimishwa hii process nzima...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1. Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwenu wataalam Mke wangu ana malaria na ni mjamzito nimempeleka hospital jioni hii kapewa vidonge vya malaria lkn tumerudi nyumbani amekula na baada ya kama saa moja hivi kameza vile vidonge lkn...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa,nisaidieni hapa, hivi mgonjwa wa moyo ni sahihi kwake kufanya mazoezi, lets say yuko na overweight anaruhusiwa kufanya mazoezi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadada wenzangu.mie naomba mnisaidie Mdogo wangu ana tatizo la kutokua na mzunguko mzuri Wa hedhi.Anaipata miezi 2 alafu inakata tena baada ya miezi 3 ndo anaiona tena.kwa madaktari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Matumizi ya vyakula na vinyaji vyenye sukari nyingi za viwandani kama vile soda, chocolate, juice zisizo halisi, nk, ni hatari sana kwa afya yako, hasa afya ya mahusihano,,,sisi tunatoa ushauri na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mtoto mdogo wa miaka minne ambaye utosi ulishaacha kupiga kwa muda mrefu, na hivi sasa amekuwa mvulana mkubwa hadi ameanza masomo yake ya chekechea, lakini ghafla utosi wake umeanza kupiga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Forever Living Products was founded in 1978 on little more than dreams and hard work. It was designed to help anyone who wanted a better future to attain it on their own. Better health...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
msaada tafadhali my friend anahitaji kuzaa mapacha so desparately,, eti ni dawa zipi zitamfaa na anywe muda gani na dosi yake asante
0 Reactions
31 Replies
57K Views
habari wakuu.nina wanangu wawili wanasumbuliwa na ndimi(kama ndio wingi wa ulimi).wanachubuka kama mtu aliyekunywa chai ya moto sana,lakini hawalalamiki maumivu.tatizo hili huja na kupotea baada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BAADA YA KUSUMBULIWA NA UVIMBE WA TUMBO KWA MIAKA 47,AFANYIWA OPERESHENI YA MASAA 7 NA KUTOLEWA MAWE TUMBONI"MAJABALI" Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nisaidieni wajameni.. kuna madhara gani kufanya mapenzi na mwanaume asiyekwenda jando?
0 Reactions
43 Replies
23K Views
Kitu gani kifanyike ili tatizo liishee.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa JF dokta... Natafuta hospitali au kituo cha afya ambacho anayepiga picha za ultrasound hasa kwa akina mama ambaye naye ni mwanamke.. Kwa anayeijua anijuze tafadhali kwani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi Wana JF! Nilikuwa naangalia Luninga wakati fulani, nilikuta issue mezani inayohusu Transgender ktk kipindi maarufu cha 'The Patricia Show' ktk channel ya M-Net, Magic Africa. Mbele ya Mama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumaini wote ni wazima wa afya. Wanajamvi nisaidieni ktk hili,hivi ni lini mama mjamzito anatakiwa aanze kwenda clinic? Je,sindano za tetenasi na vidonge vya madini chuma anatakiwa aanze lini...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
MTANZANIA DAKTARI ANAYE FANYA KAZI YA UDAKTARI NCHINI UTURUKI MJINI ERZURUM Mtanzania aliyesomea Udaktari nchini Uturuki Daktari Ahmed Mbarak miaka 39 anafanya kazi nchini Uturuki na ameowa...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
VYAKULA VILIVYOUNGUWA (CHIPS) VINASABABISHA UGONJWA WA KENSA TUJIHADHARI SANA KULA HIVYO VYAKULA. Wanasayansi wanasema kuwa wanawake ambao hula chips au 'crips' kila siku wanaweza kuongeza mara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…