Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi;
nimeambiwa mbegu...
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote yule mwenye uelewa au anayejua tiba, ni kuhusu hizi ndoto nyevu kwa kweli hii sasa imekua too much hadi nahisi nina ugojwa kama sio matatizo...
Hi JF members,
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 na wiki kadhaa lakin chunusi zimemtoka usoni (vichunusi vidogo vidogo lakni vingi), na hii ndio mimba yake ya kwanza.
Kabla ya ujauzito usoni...
Dk Kishiwa akiwa na mkewe, Mwajabu Chuma. Picha na Kalunde Jamal.
KWA UFUPI
Huyu si mwingine bali ni Mark Paulo Kishiwa ambaye kitaaluma ni daktari, aliyewahi kufanya kazi Hospitali za Kasulu...
salaam wakuu. Nina dogo anakaribia 2
Anasumbuliwa sana na hilo swala nimejaribu kutafti kwenye website flani za afya wameshauri
1.Masturbtion na
2. To have sex mara kwa mara.
Kwa mm vyote no...
Habari zenu wanajamii, ninaomba msaada katika hili.
Siku nne zilizopita nilimpatia mwanangu dawa ya minyoo(Albendazol, two days dose) baada ya dozi aliendelea na normal dieting, sasa toka hiyo...
Mm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu.
Ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza...
menstrual cycle yangu Haiko sawa jee mtu kama hvi kuna uwezekano wakubeba mimba?
au nitatzo gan linamfanya haiko sawa na ni siku gan zitakua za danger naombeen msaada plz sijui nifanyeje na...
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu...
Wanajamvi
Nimeoa mwaka mmoja uliopita.Tumefanya juhudi za kupata mtoto mimi na wife wangu lakini bila mafanikio. Tulijaribu kumuona doctor akasema mke wangu ni mnene na kizazi chake kina mafuta...
Nimeona watu wengi wazee kwa vijana wa rika fulani wakiwa wametoka ywele masikioni na puani yaani ndefu sana kiasi kwamba zinakera hata kwa mtazamaji, sasa swali nywele hizi zinasababiswa na uzee...
We've become a duped nation. We'll believe anything that we read in a magazine or on a trendy website, without ever doing research. Fitness and fat-loss myths are hugely popular, but there are a...
Habari zenu wana Jamii Doctor
Nimekuwa nikisumbuliwa na Tatizo la kiuno kuuma kama nimeteguka hivi, iwapo nimeinama muda mrefu, ama nimeinuka kwa ghafla.
muda mwingine nikilala chali basi...
Wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa katika hali hiyo huwa na hasira sana, na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
Samahi sana wa jf japo hicho kichwa cha habari huenda hakijakaa vizuri nina mjomba wangu ana umri wa miaka 4 hivi sasa huyu dogo toka azaliwe huwa anasumbuliwa na tatizo moja anapoenda haja kubwa...
Habari zenu wakuu!
Kwa kipindi kirefu mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la maumivu wakati na baada ya kujisaidia.
Ameenda hospitali akapewa dawa ya kupaka ya diclopar(kwa ajili...
HAPA hutokea hali ambayo nyama zinaota na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya misuli ya kizazi Ectopic Glandular tissues.
Awali tatizo hili liliitwa kitaalamu Endometriosis Interna...
SHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA INI
Mapaparazi kazini.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) na Mwakilishi kutoka Sanofa, Edwin Kisimbo, wakifuatilia kwa makini...
Kuna dada kaniomba ushauri, anadai anaujauzito wa siku 90 , anashindwa kula na anatapika kupita kiasi, nimemwambia nitamjibu baadae nililete kwa wadau kwa ushauri ili niwe na jibu zuri la kumwambia