Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanawake wengi wamekuwa wakipatwa na matatzo mbalimbali ikiwemo uvimbe. Uvimbe wa tumbo umekuwa ukiwasumbusana wanawake wengi,uvimbe huu ukikaa kwa mdamrefu bila tiba hukomaa na kupelekea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi nasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya chakula,mwili kuchoka,kuhisi kichef chefu;naomba msaada,je,nasumbuliwa na ugonjwa gani pamoja na tiba yake,.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo 5 yanayoweza ku Dhuru Ubongo wako. Kukosa Kifungua Kinywa asubuhi Watu wanaokosa kifungua kinywa asubuhi wanapata upungufu wa kiwango cha sukari kwenye damu. Hii husababisha upungufu wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Matatzo ya kibofu cha mkojo yamekuwa yakisumbuasana watu wengi.mara nyingi matatzo haya hugawanyika ktk makundi makuu mwawili.(1)-MKOJO KUTOKA MFULULIZO/MARA KWA MARA.(2)-MKOJO KUTOKA KIDOGOKIDOGO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajf?! Nakumbuka nikiwa mdogo nilipokuwa nikiugua, nikimeza dawa za anti biotic nikikaribia kupona basi nilikuwa nawashwa sana karibia mwili mzma hali hii ilikuwa ikinitesa sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauliza kwa wataalam je kuna namna ambayo naweza kuitumia mke wangu azae mapacha? natumai ntapata majibu mazuri toka kwa waataatalamu.
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Ni njia gani ya haraka ya kuondoa kiungulia! Kiungulia au Heartburn Kiungulia au Heartburn kwa kimombo, ni miongoni mwa mabadiliko ya ujauzito yanayowatokea baadhi ya akina mama. Tatizo hilo...
0 Reactions
7 Replies
36K Views
Habari wakuu...naombeni mnijuze kitu kimoja kinanikwaza hapa....nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti kwa wakati tofauti pia,..kila baada ya kufanya mapenzi kesho yake lazima mdada aniambie...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Kwa Mtoto Aliyechelewa Kugeuka Tumboni Ni Njia Ipi Ya Haraka Inayoweza kumfanya Ai-engage Tayari Kwa Kuzaliwa? Experience Yenu Na Uhuzi Wenu Ndio Nautegemea Zaidi WanaJF!
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari za jumapili nduguzangu! Kuna hali inatokea kwakichanga wangu ambayo sijawahi kuiona kwa watoto waliomtangulia!. Nikwamba mtoto ni wakike na leo anatimiza siku ya tano'' sasa kitu...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Magonjwa yatokanayo na maambukizo ya hewa na kinga yake. FUNGU hili la magonjwa linajumuisha magonjwa yote yatokanayo na utumiaji wa hewa toka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Msingi wake mkubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini wana Jamvi. Ninaomba msaada juu ya hili. Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute. Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuondoa damu chafuNi tiba na kinga mzuri sana mzuri sana kwa maradhi mengi,hufanywa kila tarehe za mwisho wa mwezi,lmefundishwa vizuri sana katika mafundisho ya kiislam na mtume wao..kwa wenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kufahamu wenye kujuwa, mafuta ya tembo yanatibu nini kwenye mwili a binadamu.
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Wadau, Nina mtoto mwenye miaka 3 anasumbuliwa sana na maradhi ya mifupa kiasi ambacho miguu yake imeanza kukukosa nguvu na mara kwa mara anekua akîlazwa. Naomba msaada kama kuna ushauri wa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana Jf Poleni na Majukumu ya kila siku. Mchumba wangu ana ujauzito wamiezi Sita Lakini ana lalamika maumivu makali chini ya Kitovu...
0 Reactions
9 Replies
15K Views
Habari wadau... Binafsi ki afya nimejawa hofu...Kama siku tano zilizopita,kwenye jicho..pale meet up ya iris na white part of eye..imezunguka a coat of white translucent coat yan inafanya macho...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mume wangu kuna wakati hutokwa na damu kidogo kwenye uume usiku na asubuhi tunaona kwenye shuka je ni ugonjwa gani huu ndugu zangu...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. naomba msaada kdogo juu ya hili,je nikiwa na qualifications kama hzi (1 na 2 apo chini)kwa TANZANIA naweza enda somea degree-doctor of medicine(MD) 1>Ufaulu mzuri wa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…