Naomba mnisaidie wadau najihs naumwa lakin cjui ni ugonjwa gan! Ila nina dalili hizi kwanza shahaw zangu znatoka zkiwa nzito af kama znafutika flan na nakojoa mkojo yellow yellow hiv na maumivu...
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo.
Biashara hii inazidi kukua huku...
Habari zenu wana Jf.
Nina umri wa miaka 27, nina tatizo ambalo hata sielewi chanzo hasa ni nini naombeni ushauri wa kitaalam.
Mara nyingi ninapopewa majukumu nje na yale niliyoyazoea(ya kila...
Wadau naomba mnijulishe ni sabuni gani au lotion gani nitumie ili kuondoa haya mabaka usoni au pia nifanye kipi ili kuyatoa haya mabaka usoni kwangu maana uso wangu umeharibika.
habari wana jf,naomba kujua dawa ya kusafisha mkojo nahisi mkojo wangu mchafu kwa dalili hizi,maumivu wakati wa kukojoa,mkojo unatoa harufu sana,rangi ya mkojo kama kutu nimejaribu kunywa maji...
Habari zenu wapendwa katika JF!
Binamu yangu ana miaka 35. Analalamika kuwa anajisaidia kinyesi kingi na anaogopa hali hii. Na sisi tunaona akiingia chooni hadi kutoka inahitaji uvumilie kama...
Jamani anashinda amelala ila ikifika saa 12 jioni halali yaani ni usiku wote ,lakini ikifika saa 12 asubuhi anasinzia vizuri tena,yaani akizinduka nikunyonya na kusinzia ila usiku kuanzia saa 3...
Habari.
Naombeni msaada wenu. Chini ya tumbo langu mkono wa kushoto nasikia kama kitu kinatetemeka/kucheza hivi hakiumi wala nini lakini pia sijui jinsi ya kukielezea kwa ufasaha lakini kinakuja...
Jamani niko ugenini wenyeji wangu wamepika vichoma nguo kabla havijaota miba vikiwa vidogo sana wamekatakata kama mchicha wameunga kwa karanga.
Je nile ni salama kwa afya?
habar zenu wana jm forum, na matatizo ya kuachia kwa meno yana acha njia au uwazi kadri siku zinapoenda, na hili tatizo sio mimi tu hadi dada yangu wa tumbo moja pia meno yako hivyo hivyo mimi...
Kuna dada mmoja nafanya naye kazi ni mjamzito, amekuwa msahaulifu sana. Mnaweza kuongea jambo leo kesho itakubidi uanze upya kumkumbusha hali hiyo inanikwaza sana. Wakati mwingine hata simu yake...
Nimetokewa na uvimbe km mtu anayetoka usingizin macho yanakuwa kama yamevimba hivi halafu kuna kubanduka banduka kwa ngozi na kuwasha kweny hiyo miuvimbe
Salaam..
Miaka mitatu iliyopita mke wangu alijifungua mtoto kwa njia ya kisu. Mara baada ya kujifungua, hakulifunga tumbo lake kama ilivyo ada ya wanawake wanapojifungua. Kitu kilichosababisha...
Habari wana jf
1. Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto). Kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili, pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama...
Kuna uhusino wowote kwa makundi ya damu ya mwanamke na mwanaume kusababisha kushindwa kupata mimba kwa mwanamke endapo wataoana hasa kwa kundi (mwanaume) A negative na (mwanake)B negative...