Naomba maaada kwa tatizo alilonalo binti yangu. Anapofika wakati wa MP anaumwa sana kichwa. Anapata homa kali anatapika na wakati mwingine kupoteza fahamu kwa muda. Nilishampeleka Hospital...
Naombeni mnisaidie nina tatizo la uzito kuongezeka na nina hitaji kupunguza ila kwa njia ya chakula au kama kuna mtu anaweza niambia nitumie mpangilio upi wa chakula kwa sababu nakosa muda wa...
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu.
Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30
( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na
anatumia maziwa ya mama.
Tatizo nini...
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu.
Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30 ( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na anatumia maziwa ya mama.
Tatizo nini...
Mimi ni mwanafunzi nasoma medicine ngazi ya diploma kinachonisumbua ni kumaster diseases na dawa zake ikiwemo na dosage yake.
Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua...
Salaam WanajF!!
nina mtoto wa miezi 11 na yupo kwenye stage ya kuota meno fizi zimevimba kila nikipima joto inacheza kwenye wastani wa 39, alilazwa akala dozi ya quinine, ampicilin, getamycin na...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini watoto wadogo wa kiume wanaweza rusha mkojo (wakati wa kukojoa) umbalimrefu hadi mita nne (4) wakati watu wakubwa (wanaume) hawawezi?
Tena wengine asipo panua au...
Habari wandugu.
Ninaomba msaada wa kujua wapi ntapata Daktari wa ngozi kwa Dar. Ngozi yangu imekua inaharibika hasa usoni natoka na mapele chunusi si chunusi. Nimejaribu dawa mbalimbali lakini...
Wana Jf! Ni miezi sita tangu nianze kupata maumivu kwenye kichwa cha uume.nimetumia dawa kwa ushauri wa daktar wakidai ni UTI Baada ya kufanya cultural sensitivity pale KCMC.dozi ya mwisho...
Habari wadau natumaini mmeanza wkend yenu poa...
Inapokuja swala la afya kuna sehemu ambyo tunaisahau mpaka upatwe na tatzo ndyo unaanza kuhangaika je unajua sehemu zako za siri ni sawa na uso...
Hi JF Doctor!
Jamani mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ikitokea mtu mzima akanywa maziwa ya mama anayenyonyesha huwa anapatwa na tatizo la kunyofoka nywele na kukonda kupita kiasi,
je jambo...
habari zenu.
najua wengi mtakubaliana na mimi kwamba kiungo pilipili ni mojawapo ya vitu viletavyo hamu ya kula. lakini kuna wengine wanasema pilipili sio nzuri kwa afya, na wengine usema ni dawa...
Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamumemmoja aliyezinduka akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitalimoja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka mji mkuu...