Habar zenu wana jf!
Nna rafk angu anasumbuliwa na tatizo lakubld mapande ya damu kama maini awapo kwenye cku zake! Na damu inakuwa nyeusi yenye utelezi mzito, haumwi na tumbo wala kitu chochote...
wanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka
Watalam nisaidieni.
Dada yangu mkubwa ana mimba ya miezi 4, ameenda clinick amepimwa na wamemwambia mtoto anakichwa kikubwa!
Nini husababisha na tumsaidiaje?
Asante.
Habari Jf Doctors,.
Nimekuwa na maumivu ya muda mrefu licha ya kufanya vipimo na tatizo kutoonekana,.
Upande wa kulia mwa mbavu ninahisi maumivu sana hasa pale ninapovuta hewa ndani, pia...
Health Benefits of Aloe Vera
The aloe vera miracle: A natural medicine for cancer, cholesterol, diabetes, inflammation, IBS, and other health conditions...Must Share
When I say aloe vera is the...
habari zenu wana jf wa jukwaa hili!
ni jambo lisilopingika kuwa kuna wadau wengi sana ambao wanafanya mazoezi na wamekuwa wakiamini kuwa mtu yeyote
yule afanyaye mazoezi ya viungo hawezi ugua...
maumivu makali jamani sehemu za siri, hasa wakati wa kukojoa, na vimkojo vinatoka kiduchu na vya mara kwa mara, nilienda hosptl nikapewa flagyl na doxcycilin, ni siku ya nne sasa natumia dozi, cha...
Dear jf members
Nina maumivu ya mgongo for long time nimejaribu kutumia mazoezi ya CERAGEM lakini siponi naomba kwa anaejua zaidi yaani panavuta na nikipagandamiza panauma kama mtoki vile naomba...
It starves your brain, tangles and twists vital cells, and for decades it has been misrepresented as an untreatable, genetically determined disease. Alzheimer's disease is the 6th leading cause of...
Habari za leo wana jf? Naombeni msaada mwenzenu. Mi nina umri wa 43 na nimetahiriwa ukubwani, nauguza kidonda, leo siku ya 5. Kwenye
ukingo
wa kichwa cha uume kuna
vipele vidogovidogo vipo kama...
habari zenu wadau,
Nina mwanangu umri mwaka 1miezi8 ambapo ameanzisha mfumo mpya wa chakula. Anaamka saa kumi na moja na nilazama ale ukimpa vya watoto hataki kabisa anataka kipora hadi saiv...
Nafanya mazoezi sana,nimejinyima chakula nikaambulia madonda ya tumbo,asali,maji ya uvuguvugu,ndimu vyote nimetumia mwaka sasa unaisha,matunda mboga mboga mpaka zimenichosha-jana nimepandwa na...
Human Brain Analysis :-MUST READ
Man vs. Woman......!!
1. MULTITASKING:
Women - Multiple process
Women's brains designed to concentrate multiple task at a time.
Women can Watch a TV and Talk...
Mke wangu alipatwa maralia na kupewa dawa Duo cotexin na panadol kwa siku tatu. Amemaliza dozi trh 17 Dec. Lakini ameendelea kutapika,kuumwa kichwa, kuharisha na joto kupanda. Kuona hali...
Wazima jamani,naomba kuelimishwa juu ya hili.Kuna wanaume ambao wakipga ktu uwa wanaunganisha hapohapo bila ya kupumzika na anaeza fksha ata 3 maybe.
Je hii ni kawaida au ni tatzo? Na ni sababu...