Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

kuna mdogo wangu alitoka shuleni (mwanafunzi wa bweni), tulikuwa tunalala kitanda kimoja, alikuja na ugonjwa wa vipele vidogo2, aliniambukiza na mie, lakini yeye vikapona, ishu kwangu sasa yaani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
JF Doctor, nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa...
1 Reactions
56 Replies
41K Views
Ni njia zipi, zinaweza kutumika kupunguza size ya uume. copy: MziziMkavu
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman habari za leo,me naomba kujua uzito sahihi mtoto anaotakiwa kuwa nao according to umri.najua kuna factor kama urefu nk,in my case mwanangu wa miezi kumi na moja ana kg 8.4 is it ok?please...
0 Reactions
8 Replies
43K Views
Waungwana Kwa wale wanopenda kutumia madawa kutoka nchi za nje, kuna haja ya kujuwa kwamba viwanda vifanyavyo dawa hizo sio kila siku ni wa kweli na waaminifu, baadhi ya wakati wanatumia dawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
dawa ya ukimwi yapatikana huko norway kinachongojewa ni utafiti ndani ya 5 years inaweza kabisa kuua virus source; www.mwanachi.co.tz la leo
0 Reactions
50 Replies
14K Views
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili. Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana. Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya...
7 Reactions
100 Replies
10K Views
BBC - MAKALA MAALUM Ujauzito na ulevi nini athari zake? Ujumbe wa kuchanganya kuhusu kiwango cha vileo ambacho mama mjamzito anaweza kunywa wakati akiwa mja mzito, inatatiza wataalamu kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni kidogo humu. Napenda kujua nini dawa ya kaswende.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
DHANA YA UKEKETAJI Ni moja ya tatizo sugu sana linalowakabili wanawake katika jamii nyingi. Imekadiriwa ulimwengu mzima kuwa wanawake takriban milioni 120 wamekumbwa na tatizo hili. Wanaounga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu JF Doctors, niliwapa taarifa kuhusu majibu ya HIV yenye utata ya mchumba wangu. Napenda kuwataarifu kuwa baada ya kukosa ELISA na WESTERN BLOT katika hospitali ya Rufaa Mbeya, tuliweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MziziMkavu, barca, Ze marcipolo na madoctor wengine mnahusika hapa Kilimi(kidaka tonge)changu kimerefuka sana na kina nisababishia kikohozi cha mara kwa mara hasa usiku, nakohoa hadi...
1 Reactions
4 Replies
16K Views
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo kusafisha mfumo Wa damu kusafisha mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo maumivu ya moyo kupunguza uzito kukosa hamu ya Kula na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Ndugu Jf-Doctors, mimi nina mchumba ninayetarajia kumwoa. Kwa maelezo yake, yeye bado bikra. Jana tulikwenda katika hospitali ya wilaya kupima HIV. Mimi nilionekana NEGATIVE, lakini majibu yake...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Asante sana JF kwa kuwa member wa mtandao huu. Dr. Ningependa kujua dawa gani inayoweza kuponya vipele vidogo sana makalioni.
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Hi wana jf kama kuna vitu huwa sina majibu navyo moja wapo ni hivi ETI HAWA VIRUS WA HIV huishi kwa mda wa masaa mangapi wakiwa nje ya mazingira yao ya kila siku? 2-JE SABUNI ZA KAWAIDA HIZI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kufahamu ni Hospitali zipi nzuri kwa ajili ya blood test kwa ajili ya kufahamu kuhusu HIV nk. Maeneo ya kuanzia Mwenge DSM Anayefahamu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Aloe vera gel ni juice inayotengenezwa kwa mmea wa aloevera ambayo ina kazi nyingi sana kwa mwii wa mwanadamu katika kumpatia afya na kuondoa maradhi. Hii bidhaa ina uthibitisho toka baraza la...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Samahani ndugu zangu ila nilikuwa naomba msaada kujulishwa ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume goli la kwanza anakuwa na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza, kinachofatia ni uume...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…