Dawa ya kuponya sehemu za siri Wanawake
Habari wanajamii,
Wanasema kizuri share na wenzio.
Ninauza dawa maalumu ya asili, kwa ajili ya wanawake wenye matatizo ya sehemu zao kutoa maji machafu...
Pamekuwa na maoni mbalimbali kuhusiana na kinga kwa mwanamke kupata mimba, mojawapo ni hii ya kunyonyesha.
Swali langu ni kutaka kujua (update) njia hii na mwisho wake, saidia mwenye ufahamu...
wapendwa hili tatizo limenikumba,baada ya kujifungua nimekosa hamu ya kushiriki tendo mla ndo na hat nikishiriki ni mara chache sana nafurahia,nilijaribu kumuona profesa mgaya akaniambia kua si...
habari wanajf
swali langu ni kwamba naweza nikaongezeka urefu ilihali ninamiaka 21 na kama naweza nikaongezeka ninapaswa kuwa na mlo wenye lishe ya vyakula ainagani?
je unajua kuwa unaweza kutibu yaliyoshindikana kwa kutumia ARGI+? jua matumizi makubwa ya ARGI+ kuji magonjwa bu maswali ya tiba ya afya yako.
.kutibu KISUKARI
.inatibu PRESHA.
.inaondoa kolesto...
Natamani sana kupata watoto mapacha ila kwenye familia yangu na ya mume wangu hamna mapacha..But nlisikia uwezekano wa kupata upo..Plz nijuzeni kuhusu hilo.
Sent from my BlackBerry 9800 using...
MATATIZO YA KIAFYA YANAYOSABABISHWA NA KULA VYAKULA VYENYE HYDROGENATED VEGETABLE OILS. MFANO WA VYAKULA VYENYE HAYA MAFUTA NA MAGONJWA YALIYO ASHIRIWA KUSABABISHWA NA HAYA MAFUTA...
tatizo la ngozi limekuwa tatizo sana kwa jamii zetu za kitanzania. hii ni kutokana labda ni asilia. vyakula. jua au kemikali mbalimbali za vipodozi.
hii isikupe shida kwani nipo kukuhudumia kwa...
Naombeni ushauri pia tiba juu ya tatizo linalonisumbua.Nina uume mdogo hakika haufanyi kazi vizuri na pia nina upungufu wa nguvu za kiume nifanyeje ili niweze kuwa katika hali ya...
Wapendwa madakitari na wanajamvi zote mnaojua kuhusu Pre eclampsia(Hope nimepatia spelling)Nlilipatwa na hili tatizo katika weeki ya 38.nilipatwa na pressure 190 kwa 107.na nilikuwa na proteins...
Tafadhari Madokta mliopo JF nisaidieni. Nimekuwa na tatizo la muwasho hasa baridi au maji yanapogusa ngozi yangu hasa nikioga maji ya baridi au nikinyeshewa na mvua. Tatizo hili limedumu kwa...
Mwezi wa pili mpz wangu aliniambia mimba imetoka ikiwa na wiki 5 na kwa mujibu wa ilo swala alisema eti amekunywa dawa cz alikuwa anaumwa tumbo,sasa alienda hospita akasafishwa na kipindi hizo mie...
Utunzaji wa meno ya watoto unahitaji uangalizi mkubwa kama ilivyo kwa watu wazima,
isome hapa
ManyandaHealthy: MFUNZE MWANAO USAFI NA UTUNZAJI WA MENO YA WATOTO
Habari wadau wa jamii forum naomba msaada nina mtoto wa kike wa miaka mitano ana tatizo katika mfumo wake wa kupumua na kumeza chakula anapata shida kupumua wakati wa usiku na wakati wa kula huwa...
Hellow wana jf, natafuta sana dawa hii,inaitwa robb(methyl salicylate) ina harufu kama volin ile ya kuchua, nimetafuta sana kwenye maduka ya dawa hapa dar sijafanikiwa kuipata. Mwenye kufahamj...