Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Toa taarifa viwanda bubu mtaani kwako vinavyotengeneza pombe feki. Usikae kimya maana inaweza kumkuta yeyote, hata wewe haupo salama.
2 Reactions
11 Replies
476 Views
Habar za mida...wakuu Kuna kitu mke wangu..amenambia nkajikuta naishiwa nguvu kabisa Nmeoa na tuna watoto wawili Wakike na wakiume Wakiume ana umri wa miezi sita sasa..anaelekea wa saba by...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo. Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye...
7 Reactions
153 Replies
10K Views
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na...
20 Reactions
204 Replies
13K Views
Wakuu habari na poleni na majukumu , nimekuja mbele zenu sababu najua ndani ya jukwaa hili siwezi kosa solution au mawazo positive kuhusiana na changamoto hii .. Nina mtoto wangu wa kiume ana...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Hivi ni kweli unaweza ukafanya mapenzi bila kutumia kinga na mdada aliye asirika na Usipate ukimwi?? . Maana kuna kesi kadha wa kadha zimewahi ripotiwa Kuhusu waliowah kupata kweli na kundi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa...
2 Reactions
17 Replies
30K Views
Health benefits of eating green bananas dnaindia.comDec 30, 2023 2:08 PM Green bananas are rich in resistant starch, a type of fiber that acts similarly to soluble fiber. It aids in digestion...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi cha baridi, ni muhimu kula matunda ambayo yanasaidia kukuza kinga ya mwili, kukidhi mahitaji ya lishe, na kutoa nishati. Hapa kuna baadhi ya matunda muhimu unayoweza kula wakati wa msimu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Binadamu huhitaji Vitamini D ili kuimarisha kinga ya mwili na afya ya mifupa, kupambana na aina mbalimbali za saratani pamoja na kuboresha usafirishwaji wa taarifa za mfumo wa fahamu na mijongeo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
#VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Oktoba 20 kila mwaka huwa ni siku ya ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis). Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya...
1 Reactions
1 Replies
739 Views
Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa...
2 Reactions
5 Replies
724 Views
habarini ndugu zangu sina tatzo la bawasiri wala sina tatzo la kukosa choo ,ni hali imenitokea hivi karibuni ipo hivi nilisafiri kwenda burundi siku 3 kabla ya Christmas. Ni mara yangu ya...
4 Reactions
21 Replies
896 Views
Mratibu wa Uzazi wa Mpango kutoka Wizara ya Afya, Zuhura Mbuguni ameeleza kuwa jamii inazapozingatia Afya ya Uzazi wa Mpango ni rahisi pia kusaidia ukuaji wa Maendeleo ya Uchumi wa mtu binafsi na...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…