Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo. Nimekuwa...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya. Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada. Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Tutuko zosta "Zoster" inaelekezwa hapa. Kwa the ancient Greek article of dress, tazama Zoster (costume). "Shingles" inaelekezwa hapa. Kwa matumizi mengine, tazama Shingle (disambiguation)...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
No matter how much we love our lives, some nastiest viruses will always surround us which could be horrifying and deadly. Regardless of the era humans have always had to deal with diseases like...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hivyo mume wangu ana nch 5 ikisimama na ikilala nch 2 nisaidieni mawazo nifanyeje nimsaidie aondokane na hadha hiyo au atumie nini au dawa gani hata...
8 Reactions
172 Replies
37K Views
Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Preeclampsia ni nini? Preeclampsia ni tatizo kubwa la ujauzito ambalo linaweza kusababishwa na matatizo kadhaa madogo madogo kutokea yote kwa wakati mmoja. Unaweza kupata shinikizo la damu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wanajawazito huleta athari kubwa za kudumaza ukuaji wa mtoto tumboni au kuufanya ujauzito husika uharibike. Ili kuondoa athari hizi, Serikali kupitia Wizara ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, kusema kweli nimekumbwa na tatzo la kujamba kila wakati, ila haina harufu yaani haipiti dakika 30 sijapollute, tena kwa kishindo kuna mda hadi nakosa kujiamini nikiwa kwa watu maana...
2 Reactions
25 Replies
996 Views
Nataka kujua sababu za mimba kutunga nnje ya kizazi, tatizo inakua ni mbegu za mwanaume au mwanamke ndio mwenye shida kwenye kizazi? Pia kama ikitunga nnje ya kizazi matibabu yapi yanatakiwa...
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Mara nyingi tunasikia haya matatizo. Ila watu wengi hatujui chanzo, nini kinasababisha? Je mimba ikishatungwa nje ya Kizazi, mwanamke hawezi kuendelea kubeba hiyo mimba? Kama mwanamke akibeba...
0 Reactions
21 Replies
22K Views
Nisipoteze muda, nawezaje kupata taarifa ya figo zangu kabla majanga hayajanikuta ukizingatia mimi naishi maisha ambayo siwezi kumudu hospitali ya zaidi ya laki moja (sina uwezo kifedha)...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali.. Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Yeyote anayesoma ujumbe huu akapate hitaji la Moyo wake.
3 Reactions
9 Replies
456 Views
Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani? Ndugu zangu mliowahi...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
REKEBISHA AFYA YA UZAZI, UBORA WA MBEGU, NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO, UUME KUWA Mdogo & KUONGEZA TESTOSTERONE. Kutokana na mtindo mbaya wa maisha uanaume umeshuka sana, mixer matrix, p0rn...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona...
1 Reactions
10 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…