Wanabodi,
Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.
Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa...
Habari wakuu..
Naomba kupata maarifa kuhusu hii kitu kuamka kwa uume wakati wa asubuhi kwa wanaume wengi..na baadhi huwa hawaamki na hiyo hali..lakini hawana tatizo la kujamii kwa maana wanafanya...
Wanajamvi nahitaji msaada wenu kumpata daktari wa ENT, mwanafamilia wangu anatatizo la uvimbe sehemu za shingoni na ameshauriwa kuonana daktari wa ENT. Kama unamfaham dr. ambaye ataweza kumuona...
habar wapendwa?imekua ikinitokea mpenz wangu anakaa mji tofaut na wangu anapokuja huwa ni kuduu mwanzo mwisho huwa sitoki ndan baada ya wiki huwa naishiwa nguvu naweza hata jogoo ashindwe panda...
A healthy diet, against cancer
It is true, nothing guarantees us health, even the well established lifestyle, but we can make small changes to reduce the risk of diseases of the most serious such...
Habari jf members,
nina miaka miwili
nikiwa nawashwa masikio sana tatizo ni nini?
Niliwahi kwenda hospitali nikaambiwa nina alegi nikapewa dawa lakini sikuona mabadiliko yeyote.
Naombeni...
Wadhungu wanajitahd kutafuta dawa ya UKIMWI wanashindwa,je inamana na dawa za magonjwa kama kisukar,moyo,kiharusi,figo na ini pia wanashindwa kutafutia dawa zake 2kapona kabisa?2saidien wenzenu...
Habar wadau, mm kijana wa kiume naomba kufaham iwapo zipo njia mbadala za kuweza kufaham iwapo una ukamilifu au upunguf wa nguvu za kiume bila kuhusisha tendo la ndoa au ngono? niliwah kuulza kwa...
Salamu!
Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu (kama mwakammmoja na nusu) Amepatiwa matibabu mbalimbali bila mafanikio.Mgongo unauma kwa kuhamahama ,kuna wakati unauma sehemu...
Msaada tafadhali
Ninaumwa upande wa kushoto kwenye mbavu, mguu wa kushoto nao unauma kama hauko poa poa hivi lakini zaidi ni kwenye eneo la mbavu za kushoto.
Tafadhali msaada
Mokoyo
Tafadhali wana jf msaada wa kimawazo,nilijifungua mwezi wa kumi na moja,wiki moja baadae nikiwa maliwatoni nilipata maumivu ya ghafla kichwa kikawa kinapwita na maumivu makali yaliyodumu kwa...
jf. nilipost kuhusu tatizo langu la masikio kuunguruma kwa kweli nashukuru kwa ushaur niliopewa na namuomba ndg stephot anisaidie zaid kuhusu mahali ilipo hosp ya MNH na kama inawezekana anitumie...
Habari zenu madaktari na wanajamvi wote.
Samahani leo ningependa kujuwa kuhusu MziziMkavu, ningependa kupata jina lake halisi, mahali anapoishi, alipozaliwa, miaka yake, kazi zake kwa sasa, na...
Habari zenu wanajukwaa,nawaomba madactari na wenye kufahamu hili;
1.ninapata maumivu makali upande wa kushoto na kulia mwa abdomen.
2.mkojo wa njano sana na unaharufu kali ikiambatana na kukojoa...
Wana JF naomba msaada kwa anayemjua daktari mzuri wa magonjwa ya mifupa pamoja na presha anayepatikana hapa Dar es Salaam. Mama yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mifupa, kuvimba miguu...
Wadau habari zenu, mimi mtoto wangu anasumbuliwa na viuvimbe vidogo kwenye macho ukibinjua jicho kwa chini au juu
kuna ngozi nyekundu kwa ndani basi mtoto wangu anatokwa na vijipu vidogo sana...
1.Je ni kwa kiasi gani mwanaume aliyefiti[sexualy] akafanya per one match? yaan mara ngapi?
2.je ni kwa kiasi gani[percentage wise] mwanaume aliyefiti hushindwa kusababisha mimba?
naomba mnijuze...
Hello Jf doctor
Naombeni msaada wenu jamani
Nimekuwa nasumbuliwa na tumbo la kuuma kwa mbali na kuacha.. Haliumi sana ila kiasi, na nikila linatulia... Sasa cha kushangaza nikienda haja...