Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hi
Naomba ushauri nahisi kuchanganyikiwa kiakili nimepima nimeambiwa nina virusi vya hepatitis je huu ni ugonjwa gani mana sikuwahi sikia hata mara moja na dawa ni nini na je unapona naombeni ushauri
0 Reactions
13 Replies
4K Views
je Juice ya ukwaju inapunguza damu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hebu nipeni ufahamu wa hii kitu. Kuna tofauti gani kati ya sub-conscious mind na conscious mind? Je roho ni nini na inafanya kazi gani? Samahani kama nimeweka kwenye jukwaa lisilohusika
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf nasumbuliwa na tatizo la kusikia miungurumo ndan ya masikio hali hiyo imesababisha nipoteze uwezo wa kusiia kwa kias fulan nmeenda...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32'Tatizo ninawashwa sana kwanzia kwenye mapaja hadi sehemu nyeti na hasa nyakati za usiku kulala inakuwa tabu.nimejaribu kupima mkojo na STI majibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke akiwa namimba je mume anaweza ku experience baadhi yamabadlko yatokanayo na mimba hiyo km vile uchovu,kchefchef n.k?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu kuwa wanajamii mpo salama na mnaendelea vizuri na kazi zenu za kila siku katika ujenzi wa taifa. Mimi pia nipo salama na nashukuru pia. Ninapenda kuwashirikisha namna ambapo...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Naomba kupatiwa njia ya kutumia kalenda kupanga uzazi,kwani vidonge ,vijiti,kitanzi nk nasikia si salama kwa baadhi ya aki,nkmama.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Photo Credit fruit and vegetables on a pile studio isolated image by dinostock from Fotolia.comHigh blood pressure is a condition affecting more than 65 million Americans, as reported by the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Photo Credit fruit and vegetables image by photo25th from Fotolia.com High blood pressure is known as a silent killer because it has few early warning symptoms, but can lead to heart attacks...
2 Reactions
0 Replies
934 Views
bado sjaamini kama ni ugonjwa na kama ni ugonjwa ni aina gani ya ugonjwa ,utakuta watu asa vijana wale wanao rap (kufokafoka) kila mala wanashika sehemu zao na hii nikwa wavulana kwani sijaliona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau eti mwanamke kutoka uchafu mwingi na mzito kiasi wakati wa kuduu inasababishwa na nini?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
After a shooting spree, they always want to take the guns away from the people who didn't do it. - William S. Burroughs. See the statistic at the bottom of the page...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Mimi ni mdada nina mda wa mwaka katika uhusiano, lakini baada ya miezi minne ya uhusiano wetu wakati wa tendo huwa natokwa na maji meupe yanapanda adi juu ya uume hayanuki. je ugonjwa gani?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada wa kituo/clinic/hosp. inayotoa huduma ya kufanya vipimo vya afya kwa mtu asiye mgonjwa(just for check up). Nilienda hosp fulani nika line up kama mgonjwa nilipofika kwa Dr...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa kushirikiana na watafiti wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, inahangaika kupata majibu ya kwa nini maambukizi ya ugonjwa wa malaria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA WALE WANAOPENDA NA KUONA SODA ZINA MANUFAA KWAO WASOME KWA UMAKINI. Sababu ya kifo cha mama huyu imethibitika leo kuwa ni kutokana na matumizi ya kupitiliza ya Coca Cola INVERCARGILL...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…