Je mkojo wako unakwama wakati wa kukojoa au wakati wa kufika kileleni unapata maumivu makali?
Je mkojo wakati wa kutoka unahisi maumivu makali?
Je unasikia maumivu wakati wa tendo? na mengine...
KWA UFUPI
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa kushirikiana na watafiti wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, inahangaika kupata majibu ya kwa nini maambukizi ya ugonjwa wa...
Nasikiaga watu wakisema tu
'tumpeleke hospitali akapimwe akili'
swali hapa hivi vipimo vikoje koje?
kuna mwenye ufahamu?
kuna mashine zinapima nini?damu? au?
Bonjour !great thinkers hivi naomba kuuliza je ukiugua na umepata upungufu wa damu je? Dna itabadilika ? Au hiyo damu huwa inajitenga ?na kama inajitenga inaenda wapi? Jamani mwenye jibu naomba...
Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka 3 sasa sijawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango hata siku moja toka kuzaliwa kwangu ila tatizo ni kwamba sipati mimba na MP naenda kama kawaida ila huwa napata...
KITAIFA
Na Herieth Makwetta
Posted Februari9 2013 saa 23:55 PM
KWA UFUPI
Utafiti wa awali uliofanyika kati ya mwaka 2007 hadi 2010, ambao ulijulikana kama HIVIS-03, ulihusisha...
Habari ndugu zangu...
sijui labda ni mawazo yangu lkn nimegundua siku hizi kumekuwa na wimbi la hawa madaktari wanaojiita wa tiba mbadala.
hivi siku za nyuma walikua wapi? utasikia mara usile...
Wana JF naomba msaada wa ushauri yapi mafuta sahihi kwa ajili ya ngozi yangu,mimi siyo mweusi wala mweupe nipo katikati(maji ya kunde) natafuta mafuta yasiyo cream kwa ajili ya ngozi.Nimetumia...
Wanabodi,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna...
Wanajamii,
Naomba mtu yeyote mwenye kujua jinsi ya kuwasiliana na Dr. Massawe aliyekuwa anaendesha hospitali ya THI. Kama kuna mtua anayefahamu anakofanya kazi siku hiuzi tafadhali anifahamishe...
Doctor wanted to know, how can a woman get pregnancy faster with the following circle?
December 27 to 31 Menstrual
january 28 to 2 second menstrual
and how to increase chances of having twins...
wakuu habari zenu?
naomba mnisaidie kunielekeza sehemu ya kufanyia mazoezi ili kuweka mwili fit yaliyo maeneo ya kinondoni au mwananyamala namaanisha gym.mkinisaidia na bei ntafurahi sana,nataka...
Nauza sabuni safi iliyotengenezwa kwa mafuta ya mise kutoka kigoma, inafaa sana kama tiba kwa matatizo yote ya ngozi.
Note;
sabuni hii pia ni nzuri mno kwa kuogeshea watoto wadogo na kwa...