Pole na majukumu wakuu!
Naomba msaidie/kunipa ushauri kuhusu hili
Mwaka 2011 mama yangu mzazi (ana miaka 50) alipata tatizo la kutokwa na damu mfululizo kwa muda wa miezi 6.Ilikuwa hivyo kwa...
Kwanza naomba niwasalimu wote wana jamii forum pamoja na Doctor natumaini wote ni afya njema. Doctor ninatatizo la kuwasha mwili kila baada ya kuoga muwasho huo huchukua robo saa hadi nusu saa...
LONDON: Fasting for short periods could help combat cancer and boost effectiveness of its treatments, a new study has claimed.
Researchers at University of Southern California found that fasting...
Hakuna anayependa kupata maradhi ya zinaa, lakini kama kwa bahati mbaya utapata ugonjwa kama Gonorea au Pangusa, magonjwa ambayo awali yalionekana kama yanayotibika kirahisi, hivi sasa wataalamu...
Habari zenu wanajukwaa, naomba msaada wenu wa mawazo wanajukwaa, nina mwanangu ana miezi minne kwa mda takribani wa wiki mbili anakojoa mkojo wa njano na uchafu wenye rangi km pink,nimeenda...
Nina uvimbe kwenye dhakari (mboo) upande wa chini karibu na shina la mboo. hauumi, ni kama kigololi kinacheza cheza ukikishika. kilianza kidogo sana lakini naona kila siku zikisogea kinazidi...
Background: Nina mgonjwa ambaye amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu. Katika kipindi chote hicho, aliweza kumanage vidonda hivyo kwa lishe bora na mazoezi ya kujenga mwili...
Nimesikia matumizi ya hii kitu ni nzuri sana kwa binaadam.
Naomba kujuzwa wapi naweza kupata, na vipi inaandaliwa kwa kuliwa... Msaada plzzz. MziziMkavu come on swahiba
Je, kama ni kweli huongeza vipi nguvu za kiume? Nguvu za kike je? Kwa nini karanga mbichi na sio zilizokaangwa? Wengine husema mchanganyiko wa ngisi, garlic na asali mbichi huzidisha nguvu za...
USHAURI KUTOKA KWA RAFKI YANGU
Rafki yangu ni mwanamke mwenye umri wa 21. Tangu mwaka wa tatu huuu huwa ana hisi maumivu sehemu za siri akiwa na feeeling ya kumkumbuka boy wake wa Tanzania...
Habari JF dr?
Mwaka jana nilienda kufanya body check up. Bahati vipimo vyote vilikua sawa na sikua na tatizo lolote, isipokua underweight.
Dr alinambia uzito wangu na weight haviendani na I have...
Fund Zupliment ya Revivo in fanya kazi nyingi sana za kiafya ikiwa na pamoja na Kuboresha Kinga Mwilini, Kwa maelezo zaidi soma maelezo yafuatayo na kisha angalia tofuti hii Experience Your New...
huku wanawake duniani wakipata tabu kushika mimba.madaktar nchini uswiz wamefanikiwa kuhamisha mfuko wa kizazi toka kwa mama kwenda kwa mwanaye ambaye aliolewa na kushindwa kushika mimba.imeelezwa...
Wana jf embu nisaidieni nna mabishano hp hm eti naskia damu ina rangi ya kijani? na ikitoka mf umeumia kuna hatua inapitia hd inatoka ikiwa nyekundu? Embu nisaidieni jmn
nikiwa na mwenza wangu faragha wakati wa kudo nikishapiiz mara ya kwanza inachukua kama dakika ishirini ili jogoo asimame tena,je hili ni tatizo na kama si tatizo ni kwanini inakuwa hivyo pia huwa...