Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group...
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee...
Simba walisaini mkataba na Vunja Bei wenye thamani ya shilingi bilioni 2 kwa miaka miwili, ikiwa na maana kuwa kila mwaka au kila msimu Simba wanaingiza bilioni moja katika mauzo ya jezi.
Sina...
Habari,
TFF msicheze wala kuleta utani juu ya mashabiki wanaoleta vurugu viwanjani kwa namna yeyote ile pale inapothibitika tukio kufanyika.
Nimeshangazwa sana na mashabiki wa Simba SC leo...
"Huyu ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa USGN 🇳🇪 akaniambia yupo hapa kwa Mkopo akitokea Denmark 🇩🇰, huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba Sc, nitaongea na Rais...
Galatasary star Omar Elabdellaoui made an emotional return to professional football after finally recovering from a traumatic experience.
The defender was blinded by fireworks in a freak accident...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika...
Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni...
Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana...
Baada ya MNYAMA kuwanyuka Asec kwenye Confederation... Cup na kuonekana kuwa ana consistency nzuri kimataifa
Kuliko ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na fact kwamba ana kikosi kauka nikuvae...
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani. Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo, maana sasa hivi TAKUKURU wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida...
Bado muda mfupi kujua wapinzani wa Simba na Yanga katika Hatua ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya Azam Federation Cup.
Kuna uwezekano pia hata wa wababe hao wa Kariakoo kukutana wao kwa wao. Droo...
Wadau habari zenu,
Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea...
Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya...
Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni.
Kikosi cha...
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na...
"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo"
"Its you our LORD we worship and its you...