Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022...
Fei Salum ni level za kina Khama billit,Ngoma au Dieng.
Anaweza akacheza kama 8 au 10.
Anasifika kwa mashuti ya mbali, dribble na chenga za mauzi.
Amezifunga timu nyingi kama Tunisia...
Jana wakati nafuatilia mechi ya Arsenal na Brentford nimeona mfanano mkubwa wa tukio kwa haya magoli.
Hebu tutafakari na nafasi ya Waamuzi, maana sisi wa nje ni wepesi sana wa kuhukumu tukisahau...
Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake.
Kiingereza chako cha Kumkaribisha...
Klabu ya Simba Sports Club leo Jumapili inajitupa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, kuanza harakati za kupambana kimataifa kwa kucheza na klabu ya Gendarmarie Nationale FC...
AS Vita ( 5 - 0 ) Simba SC
Al Ahly ( 5 - 0 ) Simba SC
Ilipelekea mpaka timu hii kongwe kupachikwa jina la "wazee wa Khamsa Khamsa ", huku baadhi wakiwabatiza jina la "mkono mmoja", baada ya majina...
Wasalaam wadau wa sports, ningependa kujua mechi ya marudiano kati ya Gendarmerie na Simba Sc itaonyeshwa live kupitia channel gani kwan Azam tv wamesema hatoweza kuirusha hii mechi.
Natanguliza...
Damian Mrisho Kimti aliyekuwa akicheza katika nafasi ya ushambuliaji wa pembeni (Winger), alisifika kwa uwezo mkubwa wa kupiga chenga, mashuti makali na umahiri mkubwa wa kupachika mabao...
Tanzania’s representative in the CAF Confederation Cup groups stage, Simba SC, will miss the services of three key players in their second encounter against Union Sportive Gendarmerie Nationale...
Kwa walio bahatika kutazama mechi ya Europa ilio wakutanisha Barcelona dhidi ya Napoli kuna jambo kisilo la kawaida kwa hii jezi ya Pheran Torres kuto kua na Logo ya Timu wala mdhamini wa jezi...
hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what.
Binadamu hatupaswi...
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa...
Sina budi kupongeza juhudi za serikali awamu ya kwanza na ya pili kwa maamuzi yao ya kuthamini michezo na kuweza kuhamasisha ujenzi wa viwanja vya michezo karibu katika mikoa yote.
Ujenzi huu...
Wakati wakiendelea kulalamikiwa na wakati semina yao ikiendelea bado wameendelea kutuacha vinywa wazi kwa maamuzi yao tata.
Mechi ya juzi ya Yanga dhidi ya Biashara tumeshuhudia yanga akinyimwa...
Kwa wapenzi wa kandanda ambao wanaelewa components za "Perfect Skriker" ni lazima watakubaliana na mimi kwamba Fiston Mayele ni bonge la straika ambaye dunia ya sasa inamuhitaji zaidi kuliko...
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi...
Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha.
Kutokana na...
Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amezungumzia kifo cha mchezaji wao, beki Ally Mtoni 'Sonso' aliyefariki jana akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam...