Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho...
19 Reactions
635 Replies
41K Views
Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League. Mchezo...
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kuendelea kushika kasi leo. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya robo fainali kuungana na Geita Gold na AzamFC? Ni Yanga Vs Biashara united...
1 Reactions
134 Replies
9K Views
Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini? Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kujipendekeza kote lakini wapi? Umefuta post na comment screenshot zipo
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
1 Reactions
3 Replies
962 Views
Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid. Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
MwanaJf hivi unajua kama Emma Mkono aka Nareal na mwenzie Haika wanamiliki Football Academy? Mimi sikujua, mpaka leo nilipokuwa natazama Azam Tv nikaona akihojiwa. Mbali na kufanya vizuri kimziki...
14 Reactions
23 Replies
5K Views
Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Semina ya waamuzi wa NBC Premier League Tanzania Imeanza leo kama ambavyo ilivyoelekeza TFF. Semina hiyo itachukua siku tatu na hapa chini ni baadhi ya picha ya Matukio yanayoendelea...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi ndiyo takwimu za washambuliaji watatu wa Liverpool, Sadio Mane raia wa Senegal, Mohamed Salah wa Misri na Roberto Firmino wa Brazil. Firmino: 315 games, 94 goals, 66 assists Mané: 245 games...
1 Reactions
1 Replies
648 Views
Simba yawaambia mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani
3 Reactions
11 Replies
885 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo)...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasalaam Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea. 1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya. Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Aisee nime muona chama ktk viwanja vya mazoezi Simba jamaa ana furaha sanaa, full kucheka, jamaa ana tabasamu, nimeamin kweli mwamba wa lusaka kule Morocco hakuwa na Furaha
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wapo wachezaji wanaozeeka na mpira wao mguuni, kwa mfano Zidane. Lakini wapo ambao mpira hupotea kulingana na umri . . Kagere enzi zake alikuwa mtu hatari sana , anakufunga katika impossible...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa ufupi sana Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc. Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…