Siku moja baada ya Klabu ya Yanga kufanya mkutano na waandishi wa vyombo vya habari, wakieleza malalamiko yao kuhusu uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League.
Leo February 9, 2022 Wazee...
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.
Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk...
Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata...
Habari za wakati huu wakuu,
Kwa siku za karibuni kumekuwa na wimbi la mastaa kufunguliwa kesi za ubakaji au za unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wenza wao, sasa unaambia hali sio shwari pale Old...
Siamini wazee wanaweza kukosa busara kiasi hicho hadi baadhi ya watu wanasema kuwa leo ndio wameamini hata wahuni huzeeka.
Chonde chonde msiwasingizie wazee wa watu kutaka kufanya jambo la...
Yaani pengo la pointi kubaki 5 wamepaniki kiasi kwangu roho zinataka kuwatoka!
Maelezo ya Manara yanaonesha jinsi hali ilivyo mbaya huko utopoloni licha ya kwamba wanaongoza ligi.
Niwakumbushe...
Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa...
Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo.
Chanzo: Clouds FM
Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya...
FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao.
TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe...
Wakuu mimi ni Yanga kindakindaki na hakuna ambae hajui humu.Huwa naumia sana timu ndogo inapokandamizwa pindi zikutanapo na either Yanga yangu au Simba (Mbembwaji mkuu).Tangu msimu uliopita haya...
Kupitia Mkutano na waandishi leo Februari 8, 2022, Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amezitaja takwimu ambazo zinaonesha kuwa na utata katika kuweka usawa kwenye timu ya Yanga dhidi...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Ule msemo wa usikate tamaa kwenye maisha kila kitu kina mda wake ni wa kweli kabisa japo wengi wetu tunakuwa sio wavumilivu na kuona kama...
Wanasports salaam.
Kwa zaid ya miaka 4 TFF na Simba wamekuwa maswahiba wakubwa hali iliyopelekea minong'ono upande wa Yanga kwamba TFF Soka anaibeba Simba.
Baada ya ujio wa GSM mitaa ya Jangwana...
Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki...
“Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na...
NYOTA wa zamani wa Simba na Yanga anayekipiga Azam FC, Ibrahim Ajibu amesema bado kidogo tu wale waliokuwa wakimbeza wataanza kumpigia makofi. Fundi huyo wa mpira alisema anaamini kupewa nafasi ya...
Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine.
Hii ni kwa...