Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi karibu zote za AFCON ya mwaka huu tu 2022, ni timu ipi kwa upande wako inayocheza mzuri, mnene, wa kuvutia kiasi kwamba hutoki kwenye siti Kama hujabahatika...
1 Reactions
5 Replies
806 Views
Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi.... Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
3 Reactions
5 Replies
757 Views
GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na...
19 Reactions
83 Replies
10K Views
Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya. Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza...
6 Reactions
201 Replies
14K Views
Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka...
32 Reactions
97 Replies
9K Views
Mchezaji wa soka wa Manchester United Mason Greenwood ameongzewa mda zaidi wa kushikiliwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono na kutoa vitisho vya kuua. Mchezaji huyo mwenye miaka 20 alikamatwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k. Kikao kama kikao cha wazee...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
* BEKI wa kati wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, amekabidhiwa jukumu la kurithi mikoba ya kucheza upande wa kulia baada ya kikosi hicho kuikosa huduma ya Djuma Shaban aliyefungiwa mechi...
4 Reactions
3 Replies
945 Views
Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wa mpira, Haji Manara amekuwa akilialia kuhusu Shafi Dauda akiwa Simba na sasa kahamishia kilio Yanga! Mtoto wa Kariakoo anahenyeshwa na "mhaya" kama anavyopenda kumuita mwenyewe hadi anatia...
16 Reactions
47 Replies
6K Views
Wadau nimeona niilete mada hii hapa jamvini kuhusu hawa wachambuzi wa habari za michezo magazetini. Saleh yupo Championi na Edo yupo Mwanaspoti. Je, unavyoona nani mkali zaidi kati yao?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Ikiwa ni Muendelezo Wa Hatua Ya 32 bora Kombe La Shirikisho la Azam, Leo Ni Simba Sc Vs Dar City. Je Ni Nani Kufuzu kwenda Hatua Ya 16 Bora?. Tuwe pamoja Hapa JF kwa Live Updates kuanzia Saa Moja...
4 Reactions
209 Replies
12K Views
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu. Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe...
5 Reactions
87 Replies
5K Views
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele. Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
1 Reactions
32 Replies
3K Views
📩 Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15). 01. ⚽ v DTB football club. 02. ⚽ + 🎯...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…