Wakuu mwenza wa mshambuliaji mwenye ushawishi duniani CR7 anasema imemchukua miezi 6 kuzoe mazingira ya nyumba ya mmewake
Binafsi sio shabiki sana wa CR7 lakini navutiwa na maisha yake nnje ya...
Malawi hakuna club kubwa kama Simba SC
Wala hakuna club yenye mashabiki wengi kama yanga.
Lakini team Yao ya taifa imefanya kitu kikubwa sana AFCON 2022
Team hizi nilizozitaja zinatukwamisha...
Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.
Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo...
1. Bado mnaamini mna timu bora?
2. Bado mnaamini GSM anawahujumu?
3. Bado mnaamini mnakamiwa?
4. Bado mnaamini Simba Sc itawapa raha msimu huu kwa soka safi?
5. Bado mnaamini timu yenu ipo...
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba...
Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336]
[emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi.
Shughuli yote kwenye Simba App...
Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa...
Hatua ya 32 bora kombe la Azam Sports Federation kuendelea kuunguruma
leo. Yanga SC wapo dimba la CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC.
Je Mbao wataweza isimamisha Yanga
SC? Mtanange huu utaruka...
Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo.
Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini...
Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili...
"Yaani Viongozi wote wa Yanga SC tuje huku Tanga Wiki Moja kabla ya Mechi yetu na Coastal Union FC halafu tufungwe? Sisi ndiyo Watoto wa Mjini bhana na Michezo yote tunaijua, tunaiweza na...
Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa.
Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga...
Salaaam Wana JF
Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa
Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa...
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu.
Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa...
Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya...
GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya...
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.
Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi...
Hiyo siyo tetesi bali ni kweli Hamis Kiiza kasajiri Simba SC jioni hii.My take:Hakuna mchezaji aliye wahi kutoka Yanga kwenda Simba akapaform vzr.Unawakumbuka hawa?LUNYAMILA,MMACHINGA,MATHIAS...