Baada ya mechi ya Mtibwa niliweka uchambuzi wangu humu kumhusu CHAMA.
Niliweka wazi kuwa CHAMA amebakiza jina tu na wala hana uwezo wa kucheza LIGI KUU BARA kwa ufanisi tena.
Umri umemtupa...
Tumezoea sana sie wapenzi wa Simba kuwa asilimia kubwa ya waandishi hushabikia Yanga au maarufu utopolo.
Hata tukio la Haji kutuhumiwa kuihujumu Simba wote walikana kuwa hilo haliwezekani.
Sisi...
Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma??
🚨 Simba SC lawama...
Watu wengi wanamsifia kama kiungo punde ila kwa maono na maoni yangu binafsi namuona kama mchezaji wa kiwango cha chini sana kuichezea klabu kubwa kama Simba SC.
Miongoni mwa madhaifu yake ni...
Nimeona, nimemshuhudia na kumuona kutoka kila Angle na kufikia tamati kuwa Ahmed Ally amepwaya sana katika nafasi ile.
Yaani ukijaribu kumsikiliza kwa umakini unaona kabisa anajaribu kuforce...
Tusitafute plan kocha hana mbinu ya kusoma mchezo,maana wachezaji ndo wanaopokea maelekezo kwa Kocha.
Baada ya mechi ya jana Francis Baraza alisema, tulipoingia uwanjani tulijua Simba wana mpira...
Kumradhi. kwenye kichwa cha uzi ni MTIBWA na sio KAGERA.
Siku kadhaa zimepita tangu niweke bayana ukweli usiopenda na mwanadamu haoa jukwaani.
Ila cha ajabu walinifuata Inbox na kunitupia...
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI.
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi...
1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu.
2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico...
Kwa miaka mitano mfululizo tumekuwa na tabia ya kocha akifanya kosa kidogo anatimuliwa(tunaiga tabia ya Chelsea). Uchebe alitolewa Club Bingwa akagukuzwa huku tukisahau msimu wa nyuma alitufikisha...
Hakuna timu yoyote duniani inayoweza kuvumilia kocha asiyeleta matokeo hata kama ana CV ndefu kuliko mlima Kilimanjaro , Simba sasa hivi hata lile PIRA BIRIANI tulilozoea kuliona limeyeyuka...
simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi.
Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria.
Club hii...
Wachezaji tajwa hapo juu Kapombe, Bocco na Manula wamejazwa mahela na GSM, ili wasifanye vizuri kwenye mechi mbalimbali za nbc premier league.
Hawajitumi kabisa, wakifika 18 za mpinzani wanatoa...
Ni wazi mwanadada huyu anapitia kipindi kigumu na si ajabu hakujua ugumu wa kazi kabla ya kukubali kufanya ya kondoo katikati ya kundi la mbwa mwitu.
Pengine angejua tabia na desturi za watu wa...
Hello JF members,
Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani.
1. Simba - wekundu wa msimbazi
2. Bournemouth - cherries
3. Norwich - the canaries
Nitajie zako
Nimemtazama sana P.O SAKHO akicheza soka katika mazingira tofauti tofauti hapa Tanzania.
Na pia nimekuwa nikimfuatilia Ambundo tangu akiwa Gor Mahia na Dodoma FC.
Hawa ni washambuliaji wa...