Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
KOCHA wa ARSENAL, Mikel Arteta amesafiri kwenda Amerika kukutana na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke huku akiwania kusajiliwa kwa wachezaji wapya. Habari hii imedhaminiwa na dar racing game...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Updates: Hatimaye ametangazwa rasmi. Raia hawajalala,ni saa 6 usiku lakini ndani ya dakika 5 comments zaidi ya elfu 2 Chikwende leaves for Tanzania BY TERRY MADYAUTA FC PLATINUM striker...
10 Reactions
94 Replies
13K Views
Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Angalia Jinsi Cameroon anavyowafanyia Figisu Team Wapinzani Wake. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
9 Replies
888 Views
Mshambuliaji aliyetupiwa virago na klabu ya Simba, Hamisi Kiiza amesema timu hiyo ya Simba haiwezi kupata mafanikio hata kama itawasajili wachezaji wote wanaofanya vizuri Tanzania, na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi...
3 Reactions
3 Replies
643 Views
Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi, kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi. Hizi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Wasalamu in the name of football. Kuna haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa wa kwanini hatufanikiwi katika mpira wa miguu hasa timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars. Ni aibu sana, watanzania...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tukiwa tunaendelea na ligue ya NBC kwenye mzunguko wa 13 hatimaye takwimu za timu ambazo zinapiga pasi nyingi uwanjani pia zimetolewa Kama ifuatavyo 1. Young Africans ___pasi .5130 2. Azam fc...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Pichani, huyo mwamba anaitwa Richard Justine,ndiye kit manager wa Malawi National team. Mwamba panga pangua,hiyo nafasi ya kit manager humtoi,kama kazaliwa nayo vile,ni moja ya watu muhimu sana...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi . Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu...
1 Reactions
0 Replies
569 Views
BAADHI ya majina ya mastaa wakubwa kabisa kwenye soka yatakubali kujiunga na klabu yoyote wanayotaka kuanzia keshokutwa Jumamosi na hakuna kitu kitafanywa na klabu zao za sasa kuzuia jambo hilo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika...
11 Reactions
316 Replies
21K Views
Ili utokea Sare / Suluhu na Yanga SC Mfumo huu wa 4-5-1 unafaa kama kweli Wachezaji wako wakiuzingatia. Upoje? Ni kwamba unachezesha Mabeki mahiri Wanne huku ukiwajaza katikati Viungo wote...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…