Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Anaandika Mdau Wa Ngumi Za Kulipwa Jay Msangi . Wacha inyeshe tuone panapovuja ila kiukweli huu uchaguzi wacha ufanyike ila batili na watu wakitaka kuupinga mahakamani unaweza ukafutwa kabisa...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
UTV kuna mechi kati ya Brentford na wolves lkn wakat mechi inaendelea tukapitishiwa maandish chini yakieleza kuwa mechi itaendelea ZBC2 ili pale UTV waendelee na taarifa ya habar. Nisichojua ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na na hadhi ya majina yake, nashauri viwanja hivi vipanuliwe na viboreshwe keundana inayoendana na hadhi majina yake: (1) Uwanja wa Karume - Dar (2) Uwanja wa Sokoine - Mbeya (3) Uwanja...
1 Reactions
3 Replies
655 Views
Hawa wachezaji wanaocheza ligi mbalimbali wanatuangusha miaka nenda rudi. Na tatizo kubwa utasikia nichemistry. Kwamba hawajazoeana. Nashauri tuwe na timu ya taifa kama waajiliwa rasmi. Kazi yao...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Ona mwenyewe
1 Reactions
5 Replies
593 Views
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa. Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya. Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni...
2 Reactions
2 Replies
602 Views
Tulikuwa na kazi kubwa sana ya kuwatafuta mbadala wa akina Juma Abdul, Kelvin Yondani na mwenzake Nadir Haroub. Tukapata Job, Kibwana na Mwamnyeto Kazi nyingine ilikuwa kupata kiungo bora kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anakera sana huyu mtu. Sijui nani alimwabia yeye ndiye kila kitu katika hii dunia? Halafu akiambiwa ukweli anajificha kwenye upungufu wa melanin kwenye ngozi yake (albinism) na kuanza kuomba...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna aina ya mchezo imeibuka nchini hasa baada ya wachambuzi ku conclude kuwa ili kuifunga Simba unahitaji kucheza mchezo wa kutumia nguvu kupita kiasi. Mtindo huu umeonekana kuwapa matokeo...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Salaaaam wana JF, Nimekua kwenye tafakuri nzito ndani ya wiki hii kwenye suala la michezo ambayo kwa kiasi kikubwa inazidi kuteka hisia duniani na kufanikiwa kuiangusha tasnia ya muziki. Ili...
14 Reactions
92 Replies
4K Views
Baada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Kocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga[emoji617] imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wa timu hiyo Yannick Bangala[emoji1078] baada ya kuvutiwa na kiwango cha nyota huyo raia wa DR Congo[emoji1078]. Awali nyota...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe. Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
3 Reactions
64 Replies
4K Views
Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Mhilu?? Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…