Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Sina shida na Kipaji chake Kikubwa alichonacho ila Kiufundi kwa Kocha Mweledi na ambaye haingiliwi na Uongozi wa Timu hawezi Kumuanzisha Clatous Chama katika Mechi za Ushindani hasa. Hii ni Mechi...
19 Reactions
121 Replies
11K Views
Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo...
32 Reactions
867 Replies
102K Views
Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 inafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa, AzamFC dhidi ya Simba SC. Katika fainali za mwaka 2017 na 2019 timu hizi zilikutana na zote AzamFC kaibuka bingwa...
14 Reactions
680 Replies
71K Views
Kwakuwa tupo Kwenye Dirisha Dogo la Usajiri na Timu mbalimbali Zinauza na Kusajiri Wachezaji, Basi Huuu ni Uzi Maalumu Kwaajiri ya Taarifa zote zinazo husu Usajiri kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu...
7 Reactions
170 Replies
22K Views
Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula. Namshauri Kocha wa Taifa...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Wakuu wanaharakati ambao ni wachambuzi wa mpira naona wanashindana kila mtu kujua maana ya tukio la Kigonya jana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane! Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga. Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kikosi cha Cameroon cha miaka iliyopita, wangapi unawakumbuka hapo?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Aiseee jamani wana simba leo naona kabisa tunafungwa leo na azam jana kuna ndoto nimeiota aisee nimeota naona vilio vimetawala msimbazi naona kocha pablo yupo airport amepanda ndege amefukuzwa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho. Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika hili wala tusifichane Simba SC ya sasa haina Wapiga Penati na hata Wapiga Faulo mahiri (kama Vicente Aboubakary wa Timu ya Taifa ya Cameroon) na Wachezaji walioko wameshatuthibitishia hilo...
6 Reactions
9 Replies
869 Views
Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
3 Reactions
6 Replies
606 Views
Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Timu kubwa timu la ushindi. Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…