Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Lile la nimekosa Mimi mnisamehe tayari limejichinja. Uzi tayari.
1 Reactions
7 Replies
622 Views
Chama langu Simba huu ndio usajili mpya ama..... Chama kwa mfumo ule atatuchelewesha sana....maoni tu msinipopoe
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanajamvi na mashabiki wenzangu wa Simba SC. Kwa nini msimu huu nimejawa zaidi na wasiwasi kuhusu usajili kuliko kawaida. Kilichonihtua hasa ni usajili mpya wa kiungo mkabaji kijana Larry...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Mkali kutoka Malawi
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji. Kocha ampe nafasi zaidi..
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani. Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO. Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye...
22 Reactions
121 Replies
14K Views
Ht 2-0 spurs hana shot on target or off target
0 Reactions
3 Replies
540 Views
Baada ya Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli 2 bila, leo Tena Saa 2:15 usiku, machampion watetezi Yanga SC kuanza mbio za kutetea taji lao kwa kukipiga na Taifa Jang'ombe, ambao walipoteza mechi...
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo, Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari...
2 Reactions
71 Replies
4K Views
Mapinduzi Cup leo Jumatano Saa 10:15 jioni, Simba SC kuanza michuano hii kwa kumenyana na Selem View ambao walipata sare tasa mechi ya kwanza. Je, leo ni Simba ama Selem View nani kupata ushindi...
3 Reactions
221 Replies
11K Views
Mkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Hellow JF Kipindi kile waliposema jamaa ana matatizo ya akili hadi wakamsafirisha kwenye matibabu alitangazwa kwenye media sana. Lakini kiukweli huyu jamaa Jonas Mkude tokea arudishwe kwenye...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Ufunguzi umeanza leo ambapo Namungo wameanza vizuri kwa ushindi wa kuusaka ubingwa. Simba, Yanga na Azam ndio timu zinazopigiwa chapuo kuibuka na ubingwa. Fainali ni tarehe 13 januari pale pale...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa: Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Kwamba Yanga ikipoteza mechi hata moja ,itapoteza mwelekeo,na mashabiki watapaniki ,wachezaji watacheza kwa presha kubwa Au nyie mnasemaje?
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…