Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unajua kwanini, Pitia threads karibia zote humu jukwaani, pitia michango ya mtu mmoja mmoja utagundua klabu inayozungumzwa kwa kwa zaidi ya 90% Ni Simba. Inazungumzwa kwa mazuri, ubaya,lawama...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣). Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM) - CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia...
11 Reactions
172 Replies
13K Views
Juzi kati niliandika uzi kuhusu udhamini wa GSM na nkaja na maswali ya ufahamu. Kuna waliokubaliana na hoja na baadhi walikataa kabisa. Unaweza upitia hapa, Je, ni kweli udhamini GSM ni wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Yanga ni zaidi ya mbumbu watu walishajua kuwa nyie mnapenda skendo za nje ya uwanja ndio maana Simba wameamua kuwachezea mind game ili Yanga mconcetrate na ya Simba kususia mechi msahau maandalizi
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Vunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba, GSM ni kit supplier wa Yanga. Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba . Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote...
16 Reactions
120 Replies
9K Views
Nimejaribu kusoma maoni mbali mbali humu zingine zikiwa za wana yanga wengine zikiwa za upande wa simba wakijibizana na pia wengine kukosoa juu ya hatua ya TFF kusaini mkataba na GSM. Mkataba wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Kwa hiki kinachoendelea naona dalili za hii match kutochezwa Tff wameweka nembo ya GSM kwenye benchi la Simba
1 Reactions
33 Replies
2K Views
TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii, Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa! Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie.. Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi.. Yanga waligomea...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Yaani Yanga hii derby wanavyopigia kelele hadi kero wakati Simba wanachukulia kawaida tu kama mechi ya Mbeya Kwanza au Prison. Hamna mwanasimba anayewaza hii mechi maana ni kama mechi za kawaida...
4 Reactions
10 Replies
764 Views
Watu tumesafiri kufata derby Tumelipia ving'amuzi Tumelipia tiketi ya mechi Tumesafirisha michepuko Tumewaandaa watoto wetu waone derby Tumebet pesa zetu TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga...
3 Reactions
12 Replies
782 Views
Ndani ya Tanzania Football Federation (TFF) kumejaa vilaza ambavyo havijui maana ya mpira na matokeo yake ni kuingia mikataba inayovuruga tamaduni na brand za vilabu vya mpira. Tulisikia juzijuzi...
0 Reactions
4 Replies
785 Views
vibe la simba linajulikana afrika nzima sasa matapeli fulani yamekaa sehemu miaka 3 yameona ni ujinga mtupu yakaenda kuingia MKATABA WA KIMANGUNGU na watu wazima wasiojiheshimu watu wazima ambao...
1 Reactions
0 Replies
541 Views
Leo napenda kuongelea Sheria ya 15 ya FIFA inayohusu "Member associations’ statutes" Member associations’ statutes must comply with the principles of good governance, and shall in particular...
1 Reactions
2 Replies
647 Views
1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football...
14 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni kwamba Masela ( Wahuni ) wote wa Ubungo ( hasa pale UFI ) pale Manzese na Magomeni ( Migomigo ) tunakujua fika kuwa Wewe ni Yanga SC 'lia lia' na wengine ni 'Mashemeji' zako vile vile kwa Dada...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau wa JF, Watanzania wote, Wapenzi wa Soka, Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Yanga ila kwenye Mechi ya kesho ya Watani wa Jadi naombea sana Benchi la Ufundi la Simba liwapange wachezaji wafuatao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…