Timu ya Everton imeanzaa Safari yake ya kuweza kufika hata hatua ya top 7 ya Ligi KUU uingereza English Premier League baada ya kuichapa Arsenal bao 2 Kwa moja jana usiku
Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa.
Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya...
Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi.
Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu...
Habarini wana sports wenzangu.
Kwa hali ya mienendo ya waamuzi kwenye ligi yetu ilivyo. Naona wanaweza poteza ladha ya soka letu hasa inapokuja mechi kubwa kama hii ya tarehe 11.
Hebu fikiria watu...
Naangalia game ya Man Utd vs Arsenal, man utd wamechomoa kupitia Bruno.
Wachezaji waliokuwa karibu na Bruno wamemkiblilia kushangilia pamoja Ila Ronaldo hakwenda.
Huwa ni kama anakua hana furaha...
BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
===
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa.
Maelezo zaidi yatakuja baadae
Zanaco wametinga makundi CAF timu zingine ni kama inavyoonekana hapo juu. Ukiongeza Orando Pirates na Berkane.
Mengi zaidi kuhusu Kapumbu waulizwe Yanga Utopolo.
Nimeamini mpira wa bongo bado sana, wanaohangaika ni mashabiki na wala sio viongozi..
Kuna weekend moja zimepita siku kadhaa, ilkua siku ya jumamosi, Simba SC ilikua na mechi kubwa tu nje ya...
Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma...
Habari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9...
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema Tanzania ipo tayari kuwa mwenyeji Kombe la Dunia kwa soka la watu wenye ulemavu (WAF) baada ya kumalizika inayofanyika Oktoba...
Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr...
Japo mimi sio mfatiliaji sana wa mpira wa miguu ila nimekiwa nikijiuliza hili swali.
Ni kitu gani kinawafanya wachezaji wa kigeni kupenda kucheza soka la kulipwa Tanzania?
Je, wanapata mshahara...
Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha...
Simba uwa inacheza mpira mwingi wa pasi nyingi na ufundi wa hali ya juu.
Hata ikitokea timu ikafungwa basi mashabiki huwa wanaridhika na kuona bahati haikua kwao kwa jinsi kiwango kizuri...
Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!
Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine...
Nianze kwa pongezi nyingi kwa Mnyama Simba kwa kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika!.
Nauliza kuhusu hatma ya timu za Rivers United na Al Masry, nani amefuzu makundi Shirikisho?
Rivers 2:1...