Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Salama wakuu, Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa. Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona...
14 Reactions
4K Replies
230K Views
Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Incredible https://shrinke.me/cKnKZEN
1 Reactions
16 Replies
979 Views
Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa...
2 Reactions
1 Replies
916 Views
Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, katika mpira wetu wa kitanzania kumekuwa na utamaduni usio mzuri wa viongozi wa vilabu vyetu kutoa matamshi ya tuhuma kwa viongozi wa klabu fulani...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake . 🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri. Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau wenzangu Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi. Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa. Kwamba eti...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison...
14 Reactions
57 Replies
7K Views
Rais wa nchi MO Dewji. Waziri mkuu Barbara Gonzalenz. Waziri wa ulinzi Jonas Mkude Nungunungu. Wizara ya kazi Shomari Kapombe "show me the way"show show. Waziri wa katiba na sheria wakili msomi...
1 Reactions
5 Replies
878 Views
Binafsi nimeumia na sijapenda kunahaja ya kubadilika
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika kutoka Uganda zinasema kiungo anayekipiga Yanga huenda akajiunga na Simba dirisha dogo Pia habari zinaonyesha kuwa mkataba aliosaini kunako clab ya Yanga ni wa...
5 Reactions
89 Replies
9K Views
Je, wajuwa!! Mpiganaji wa zamani wa boxing Mike Iron Tyson, ni shabiki mkubwa wa Marehemu Diego Armando Maradona, mwamba alikuwa anamkubali sana mchezaji huyu wa karne na kupiga nae pictures kama...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Kila mmoja ni shahidi kwa ili liliotea leo. Sisi kama taifa tuna safari ndefu kufikia mafanikio ambayo kila mtu anatamani kuyaona. Inatafakarisha tunataka kwenda mbele ikiwa vyanzo vinavyoweza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…