nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa.
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa...
Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu?
1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa.
2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na...
Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa
====
MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya...
Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama...
Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbazi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa ni mchezaj mwenye papara...
Haji Manara awaponda Viongozi wa Simba kumpa Urais wa Heshima Modewj, katika mazungumzo yake anadai kuwa, "Nchi Hii ina watu wa ajabu Kabisa, Wasomi wetu ni hovyo Sana, Hastahili hata Kuwa...
Ni takribani kilometa 5,627 kutoka katikati ya mjini mkuu wa misri Cairo mpaka katika jiji kubwa la London pale nchini Uingereza hakika ni umbali mrefu lakini nani anajali kama unaenda kupambana...
Wengi wetu tunajisahaulisha(ni kitendo cha kujisababishia kupoteza kumbukumbu kwa makusudi)
Twende sote[emoji3596]
Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya round ya pili kati ya Yanga vs...
Hata wazungu waligundua kuwa tatizo lao sio waamuzi wazuri viwanjani bali technology ya kufidia mapungufu ya kibinadamu katika kuona na kufanya maamuzi kwa matukio yanayotokea kwa haraka sana...
Miaka kama miwili wazungu walipotaka kuanzisha VAR, baadhi ya mashabiki waliponda kwa madai kuwa, VAR itapunguza ladha ya mpira.
Kiuhalisia, waanzilishi wa VAR ni watu wanaoona mbali, kwa sabab...
Wizara ya habari utamaduni vijana Sanaa na michezo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema katika kusheherekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la...
Aishi Salum Manula
Kujiona anajua, Sifa Kumuharibu na kuamini hana Upinzani ndani ya Kikosi kunaanza Kumgharimu mpaka Kufungwa Magoli ya Kitoto, Kipuuzi na ya Kukosa tu Umakini wake.
Ajitathmini...
Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua...
Baada ya heka heka za kalenda ya FIFA kwa michezo ya mataifa mbali mbali kuisha, wiki hii ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena. Binafsi nilimisi sana soka la timu ya Yanga ya msimu huu hasa...
Hebu tuambieni. Kwanini penalty inapigwa watu kama wote wamo ndani!?
The referee places the ball on the penalty mark (the spot) and it must remain stationary. The goal posts and net must also...
Nimeona msemaji wa Yanga anayejulikana kama Bumbuli, akitaja mechi zilizobaki katika premier kuwa ni nne tu huku alisema wao yanga hawatambui mechi ya tarehe 3.
Jambo hili kama kweli litatokea...
Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana...